Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,094
- 34,233
Wakuu nauliza hivi asili ya neno mama ni wapi?
Kwa sababu waswahili wanaita mama, wahindi wanaita mama, wanaijeria wanaita mama,wazungu wanaita mama ,yani kwa kifupi lugha nyingi sana zinatumia hili neno
Sasa asili yake ni wapi??