Nilizikuta zinaishia zile senti 5 zenye yule samaki papa upanga.. Moja ilikuwa inanunua bazoka 5Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hizo hela nilizitumia wakati wa utoto kabla hazijabadilishwa kuwa shilling ya afrika mashariki.
Senti moja iliweza kubadilishwa kwa ndizi kisukari tano. 😂
Kiswahili siyo kigumu ila waongeaji ndiyo wagumu kujifunza. Sasa kama wewe tayari umeshabadili maneno kama ''mradi'' unaandika ''mladi''. ''Vurugu'' unaandika ''vulugu''. Shule ulikwenda kufanya nini?Kiswahili ni kigumu sana, kuna Hela, Pesa, Fedha, Mpunga, Maokoto, Noti, Mkwanja n.k ni mladi vulugu tupu, inakupasa kuwa makini kuelewana na watu wa aina mbalimbali.
Wazee wengi wa kichaga walikuwa wanaita fedha ''heleri''. Ni kutokana na hilo jina la kijerumani. BTW Mshana Jr hata neno ''shilingi'' siyo letu. Mizizi yake iko Uingereza na Ujerumani. Waingereza zamani sana walikuwa na neno ''Scilling'' kwenye mambo ya account na baadae fedha.Nilizikuta zinaishia zile senti 5 zenye yule samaki papa upanga.. Moja ilikuwa inanunua bazoka 5View attachment 3481934
Shule hakuna kipindi nilikua nakipenda kama mapumziko...Kiswahili siyo kigumu ila waongeaji ndiyo wagumu kujifunza. Sasa kama wewe tayari umeshabadili maneno kama ''mradi'' unaandika ''mladi''. ''Vurugu'' unaandika ''vulugu''. Shule ulikwenda kufanya nini?
Yeah shillingi limetoholewa toka kwenye kimombo shillingWazee wengi wa kichaga walikuwa wanaita fedha ''heleri''. Ni kutokana na hilo jina la kijerumani. BTW Mshana Jr hata neno ''shilingi'' siyo letu. Mizizi yake iko Uingereza na Ujerumani. Waingereza zamani sana walikuwa na neno ''Scilling'' kwenye mambo ya account na baadae fedha.
Acha hizi, ni sarafu za mwanzo kabisa kutolewa baada ya BOT kuanza kutengeneza shilling ya Tanzania. Mimi nimezikuta hizo hela zenye tundu katikati. Zilkuwa zinafungwa kamba kwa mafungu!... Hela za Tanganyika baada uhuru zile.Nilizikuta zinaishia zile senti 5 zenye yule samaki papa upanga.. Moja ilikuwa inanunua bazoka 5View attachment 3481934
Hizo nilibahatika kuziona lakini zikiwa tayari zimeshatolewa kwenye mzungukoAcha hizi, ni sarafu za mwanzo kabisa kutolewa baada ya BOT kuanza kutengeneza shilling ya Tanzania. Mimi nimezikuta hizo hela zenye tundu katikati. Zilkuwa zinafungwa kamba kwa mafungu!... Hela za Tanganyika baada uhuru zile.
Yeah elimu haina mwisho