Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,528
- 31,673
Mnamo miaka ya 470 BC, Mwanafalsafa mmoja wa kigiriki,kwa jina Empedocles,aliamini kuwa Ulimwengu na kila kitu kilichopo vimeundwa na vitu vikuu vinne; Maji,udongo,moto na upepo kulingana na Empedocles,Kila kitu kilitokana na hivyo vitu vinne!!!
Hiyo ndiyo iliyokuwa nadharia iliyoheshimika wakati ule,kabla ya John Dalton haja-formulate nadharia yake ya 'Atomos' ambayo kimsingi ilianzishwa na Democritus.
Historia inatuambia kuwa,Waebrania hawakuwa wadadisi haswa kuhusu asili ya vitu au sayansi kwahiyo wali-copy na kupaste Idea zote za wagiriki ikiwemo hiyo ya Empedocles.
Ndiyo maana kwenye Biblia,utakuta kitu cha kwanza kuwepo ni Maji Utaambiwa kuwa Mwanadamu ameumbwa kwa Udongo, Pia utaambiwa hata Majini wameumbwa kwa cheche za Moto!!
Hivyo vitu vitatu vyote,vipo katika Nadharia ya Empedocles, Lakini kwa Bahati mbaya au Nzuri,Nadharia ya Empedocles ni UONGO.!