physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 875
- 1,090
Hao wote uliowataja wana asili za kiarabu.Na hao uliowataja wote wako Pwani,sehemu ambazo waaarabu walipotoka nchi za arabuni,na majahazi kibiashara,walifikia sehemu hizo na kuzaana.Hilo neno Sahel(ni neno la kiarabu,maana yake Pwani).Hapa Kuna shida ya udhibiti wa Historia. Sababu hatuna Historia yenye mashiko, inabaki ya kuwa Kiswahili ni chotara.
Kuna Waswahili, Kuna kiongozi na Kuna Kiswahili.