kuwa na mali inategemeana na maisha kweliHamna kitu hapo hizo ni akili za kitoto kwasababu kila mtoto ukimuuliza atakwambia akija kuwa mkubwa lazima aje kuwa na hela.
Lakini anavyo zidi kukua ndoto zake zinaanza kubadilika kutokana na changamoto anazo kutana nazo.