Asikudanganye mtu, "mtoto wa Nyoka ni Nyoka"

Asikudanganye mtu, "mtoto wa Nyoka ni Nyoka"

Mleta bandiko... Je unadhani Wewe utakuwa na kizazi kilicho Bora zaidi..kwani hujaoa Malaya Wala hauna wizi Wala udhulumati ndani yako?

....Siamini Kwamba mtoto anarithi Tabia zoote za baba na Mama na mababu... Unawezapata mtoto ukawaza huyu nlimzaa Mimi kweli?... Kwa maovu na mabaya Yake... Lakini pia inaweza kuwa vice versa.
 
Kama watoto wa familia wako wengi, basi mmoja au baadhi wanaweza kuchukua baadhi ya tabia ama za mama au baba. Na kuna uwezekano wa baadhi ya watoto (mtoto) kutochukua zote.
 
Back
Top Bottom