Coordinator
New Member
- May 30, 2016
- 2
- 1
ASIKARI WA UHAMIAJI HAWAJALIPWA POSHO YA CHAKULA (RATION ALLOWANCE) KUANZIA APRIL - MAY 2016.
Inashangaza kwa chombo nyeti kama hiki, serikali kuchelewesha kuwalipa pesa zao za CHAKULA zinazowapa mlo wa mchana na usiku pindi wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya ulinzi wa taifa hili.
Mbali na hilo majeshi mengine ikiwemo police, jwtz na magereza waneishalipwa.
Hii haileti umoja kwa ASIKARI wetu, matokeo yake lazima wazalauliane mwenyewe kwa wenyewe.
Lakini pia serikali inawaweka katika hali ngumu sana wapiganaji hawa ambao ndio walinzi wa milango ya taifa hili ( MIPAKA).
JE HAPO KUNA UWAKIKA WA ULINZI MIPAKANI.
JPM ANGALIA NA HUKO!!