Asifiwaye ni bwana

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
 

Attachments

  • image001.jpg
    image001.jpg
    66.5 KB · Views: 127
  • image002.jpg
    image002.jpg
    39.2 KB · Views: 110
  • image003.jpg
    image003.jpg
    30 KB · Views: 81
  • image004.jpg
    image004.jpg
    30.8 KB · Views: 84
  • image005.jpg
    image005.jpg
    27.9 KB · Views: 91
  • image006.jpg
    image006.jpg
    29.4 KB · Views: 82
  • image008.jpg
    image008.jpg
    24.5 KB · Views: 67
  • image009.jpg
    image009.jpg
    31.7 KB · Views: 87
  • image010.jpg
    image010.jpg
    26.2 KB · Views: 81
  • image011.jpg
    image011.jpg
    36.4 KB · Views: 83
  • image012.jpg
    image012.jpg
    31.4 KB · Views: 66
  • image013.jpg
    image013.jpg
    45.3 KB · Views: 60
  • image014.jpg
    image014.jpg
    43.3 KB · Views: 74
Mungu ni mkuu sana, mwacheni Mungu aitwe Mungu. anao watu wa kila rangi, kila namna, kila aina. cha maana ni kwamba, we all share one aspect, roho, roho ndo kitu cha muhimu, miili hii ni udongo tu, hivyo yeyote anayejisifu asijisifu kwasababu ana mwili mzuri, yeye wanamwita miss tz etc, na ajisifu kwasababu roho yake inamfahamu na kumkiri Mungu aliye hai. ajisifuye na ajisifu kwasababu anamjua yeye aliye juu, wala asijisifu kwasababu ya chochote kile mtu alichonacho, au vile mtu alivyo. mbele za Mungu, sisi sote tuko sawa, na wakati wowote mtu yeyote anaweza kuwa anything. Mungu wangu, nashukuru kwa kuniumba hivi nilivyo, kwani hivi ndivyo ulivyotaka mimi niwe, nakupa sifa na kwa watu wengine wote ambao umewaumba kwa namna yoyote ile, yote ni kwa utukufu wako, kwani sisi sote tu mali yako, nawe ndiwe waamua vila unataka sisi tuwe wakati wowote ule.

nakupa sifa na utukufu milele na milele, shukrani na heshima, uweza na adhama. Haleluya Mungu wangu. wewe ndiwe uliyeumba mbingu na nchi, samaki wa baharini, ndege wa angani, wewe ndiye uliyeshika pumzi ya kila mtu, hata wale wanaojisifu na kukusahau, wewe wampenda kila uliyemwumba na unamwita siku zote arudi nyumbani kwa Mungu wake, upendo wako ni wa ajabu, rehema na neema yako ni ya ajabu, kama ungalihesabu maovu ee Bwana nani angesimama mbele zako, kwasababu sisi sote tu wadhaifu kibinadamu, lakini Mungu bado unatulinda na kutupenda. nakushukuru ee Mungu wangu, nakupa maisha yangu yote uyatawale wewe, uwe Mungu wangu na mimi niwe mwanao. Nisaidie ee Mungu nikukumbuke wewe katika kila jambo ninalolifanya, nikupe sifa wewe Ee Mungu kwani peke yako unastahil sifa na utukufu. Amina and Haleluya to the Lamb of God, forever and ever!
 
Kumbe huyu mama alikuja zaa mtoto wa pili, Mungu ni mkuu amempatia wasaidizi!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom