Ashley kaachia ngoma mpya, ipe sikio

Zinachosha sasa.Kila siku nyimbo afu nyimbo zote zinafanana
 
wimbo mzuri sana tena sana ila dogo anakosea sana kutoa nyimbo bila mpangilio, itakuja kumcost baadae. halafu kuwatajataja wasanii wa kike wa bongo movie kwenye wimbo wake wala haikuwa na maana. bongo aina tension kabisa so aliowataja hawavutii tena nowdays. zaidi ya hapo keep it up to him. he deserve to be new kiba or dangote.
 
anadai flash yake ilipotea na mzigo wa album nzima so anazitoa mfululizo kabla aliyeokota flash ajaanza kuzi release moja baada ya nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…