Ashinda kwa kishindo mashindano ya kula chakula

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,936
Katika mashindano ya kula, jamaa hapo chini amechukua ushindi kwa kishindo baada ya kula mikate 6, matikiti manne, apples saba, chupa sita za maji na kabeji tatu mbichi na mazagazaga kibao.

Na bado akahitaji vingine kuongozewa.



ATTACH]270052[/ATTACH]
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1437514378.409323.jpg
    47.3 KB · Views: 1,269
Hizo mbinu/nguvu na jitihada angezitumia katika kutafuta pesa angefika mbali!..hongera kwa ushindi...
 
Reactions: G3T
Mbona vimebaki aisee???

Mi nakumbuka kuna jamaa alikula kilo mbili za wali maharage mpaka ukoko akakwangua,matango sita,ndizi mbivu tatu kubwa,tikiti moja.akapewa zawadi ya bia mbili nazo akazinywa hapo hapo.kisha akamuagiza mdogo wake kuwa wasisahau kumuwekea msosi home.

Kuna viumbe wa ajabu sana duniani.
 
Huyo ni mwehu suruali tu utajua analala jalalani, yaani mashindani ya peke yake sijawahi kuona
 
Hii ni balaa...Ni Uganda lkn sio Tanzania
 
Huyo ana matatizo ya akili...mikate 6 hiyo mikubwa kaimaliza!!?? Matikiti matatu!!?? Kabeji mbichi!!??? Abomination oooh(in nigerians voice)
 
sawa lakini si angekula kistaarabu tu jamani! Mbona anakula kwa pupa kama Nguruwe. .

Sasa si ni mashindano mkuu????!!!!,Hakuna cha ustaarabu kwenye Mashindano,Kukosa ustsarabu yawezekana kumechangia ushindi huo.
 

Wote hao ni wa kawaida sana!!,Kuna dogo alikuwa na miaka 13,alikuwa ana uwezo wa kumaliza kiroba cha mchele kg 13,ambao haujapikwa kwa kuutafuna halafu wali nao anakula km kawaida,hadi mama yake aliamua kuomba msaada kutoka serikalini na wasamalia wema.
 
Moja ya vigezo vya ushindi ni kutokuwa mstarabu...Sasa atastarabikaje?
 

Duh,huyu hata serikali yenyewe naona itaomba msaada!!!!
Mchele 13kg!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…