Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,204
- 37,555
Nakumbuka kusafiri na jamaa mmoja bonge alisoma Arusha Meru Marehemu sasa basi tulipofika Highway jamaa kaagiza plate mbili kazifuta pale pale wakati abiria wanapewa taarifa warejee kwenye bus kwaajili ya kuendelea na safari jamaa akavuta plate nyingine take away na maji kubwa mbili za Kilimanjaro.