Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake,siku moja alinishangaza sana,MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote,CHAKUSHANGAZA,Mdai ashakumu simatusi,unagongwa sana?,ninakupa msaa mawili kabla sija kuitia polisi.JE WEWE UNGEKUWA MDAIWA UNGEFANYAJE?