Ashakum si matusi...

Kulimaliza tatizo ambalo lilikuepo tangu enzi za Roma ya kale hakuhitaji matamko kama ya viongozi wa kisiasa.
Tunaweza kutumia roho mbaya kama ya Mugabe, Zimbabwe, au kusimamia sheria ipasavyo na kuacha kutoa matamko yasiyokamilika.
 
MOLA AMTUME MALAIKA ZAKE WENYE MAPANGA YAKATAYO KUWILI AMALIZE KABISA HAWA WATU MILELE YOTE. ..AMEN RA
 
yaani si utani watoto wa kiume unatamani uwafungie tu chumbani hata ukisikia kaenda kucheza mtaa wa pili roho juu...eeeh Mungu nusuru hiki kizazi
 
Wanawake wanachangia sana kuaribu hawa watoto. Mtoto kama uyu anatengenezewa mazingira ya kiakili kua nan badae? Pia wanawake wanawapenda sana awa watu. Imagine Superstar Wakike ambae ndo kioo cha jamii anampost Shoga, anamaanisha nn?
Hali ni mbaya sana mtaani mpaka MTU anajisifu kwa kubokoa dume mwenzie.

Onyo: usimwamini MTU. Abiria chunga mzigo wako. Walevi msizime zime ovyo.
 

Attachments

  • SI_20170108_214427.jpg
    SI_20170108_214427.jpg
    65.5 KB · Views: 36
Acheni promo,kukumbushia mbushia vitu vya kijinga kama hivi ndo mnaazidi kuharibu
This isn't a Promo bro.. Mda wa kuchukulia poa umeisha.. We should talk..
Hao vijana Kama sio kupigwa video ya Siri.. Ukikutana nae barabarani huwez hata kufikiria mbali..
Na ndo ivo vijana wetu hatuendi nao chooni..
The time to speak vigorously against it it's now...no more hides wakat mdudu kishaingia na anatafuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom