Asha Kigundula Meneja wa Msanii..

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Natizama TBC 1 leo tarehe 10.03.2012 jumamosi asuhbuhi ambapo kuna mwanamziki chipukizi wa maadhi ya Zainabu anahojiwa akijitamnulisha kwa mara ya kwanza. Anamziki aliofanya ft na Kingwendu.

Meneja wa Mwanamziki huyu ni Mwandishi wa Habari wa Jambo leo, Asha Kigundula. Kwa kumtizama tu huyu Meneja ni kama upeo wake ni mdogo sana kwenye masuala ya usimamizi wa kazi za usanii..hata kujieleza imekuwa ni shida sana, anaongea hata apangilii maneno ya kuwezesha kumnadi vizuri msanii huyu mchanga,..sijui kama anafahamu nafasi yake..sijajua vigezo vinavyotumika kwa wasanii kuteua ma Meneja. Pengine wengine wanakuwa ni "ma demeja"


Mdau Asha Kigundula (Shoto),akiwa pamoja na mdogo wake Zainab na shemeji yake bukanu, katika hafla maalum iliyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Flamingo mbezi Mdau Asha Kigundula (Shoto),akiwa pamoja na mdogo wake Zainab na shemeji yake bukanu, ch Dar es Salaam.
 
Mbona kasimama kishari ? halafu sio kushoto bali ni kulia mkuu usianzishe ugomvi na bwana harusi kwa kumwita SHE lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom