Uchaguzi 2020 Asha Baraka achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Mwenyekiti wa bendi ya African Stars (Twanga Pepeta), Asha Baraka akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

1594729954345.png

=====
Asha Baraka alikua Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta. Ameiongoza bendi hiyo kwa zaidi ya miaka 20.
 
Ni vile sina chama kwa sasa. Ila mpaka 2025 nitakuwa nishaona nifanye nini as far as mgombea binafsi hairuhusiwi kwenye nchi yetu. Watu wengi sana in real life wananimbia nichukue form.
Chukua form sasa hv....
hakunaga wakati mwingine....
hata ukija kuchukua wakati mwingine
utakuwa na experience.....
ya kuchukua form wakati huu...
 
Inaonekana ubunge ndio ajira pekee iliyobaki, serikali ifute mafao, posho na kila stahiki kwa wabunge baadala yake iwe kazi ya kujitolea tu... wapewe maradhi dom na nauli kurudi majimboni.

Tuache sana kuitukuza siasa na kuigeuza ajira kiasi cha kuwa ndoto ya kila mtu, tutanue wigo wa ajira taalum na maarifa viwe vinalipa kuliko chochote kile ili vijana wetu watamani kuwa na maarifa kichwani ili waje watajirike..
 
Back
Top Bottom