Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,009 Reaction score 74,643 Aug 24, 2014 #141 BAK said: Funguka basi Mkuu Chakaza...Nini kikuchekeshacho!? Click to expand... Mkuu nilikumbuka "kuufyata" nikasema limama nalo limeufyata Dodoma sasa BAK ame like. Ha ha ha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BAK said: Funguka basi Mkuu Chakaza...Nini kikuchekeshacho!? Click to expand... Mkuu nilikumbuka "kuufyata" nikasema limama nalo limeufyata Dodoma sasa BAK ame like. Ha ha ha
mwenyenchi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 657 Reaction score 189 Aug 24, 2014 #142 Iiiiihaaahaaahaaaa ....! Safi sana! Busha lake la labia majora linamtesa
M msemakweli 1 JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 290 Reaction score 68 Aug 24, 2014 #143 MSALANI said: Mungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania. Click to expand... leo umemkumbuka Mungu? Mungu anapenda uadilifu, ndiyo nakushangaa kumtaja Mungu wakati katiba ya ccm imeondoa vipengele vya uwazi na uwajibikaji na maadili, ila sisi tunamtakia pole Asha BAKARI.
MSALANI said: Mungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania. Click to expand... leo umemkumbuka Mungu? Mungu anapenda uadilifu, ndiyo nakushangaa kumtaja Mungu wakati katiba ya ccm imeondoa vipengele vya uwazi na uwajibikaji na maadili, ila sisi tunamtakia pole Asha BAKARI.
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Aug 24, 2014 #144 majini ya ccm yanawarudi taaaratiiib. Achana na lile la mkuu wao linamtesa