Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Inawezekana pia presha. Mungu amsaidie kama in kweli.
 
Alisema yeye ameufyatua, ila Jusa kaufyata kwa sababu hata hajaweza kuweka mimba kwa mtu azae mtoto.

Honestly nilishangaa sana mtu anatumia airtime za bunge kuelezea maana ya kuufyata ni mtu mwenye busha, analificha kwa kulirudisha nyuma. Eti yeye ameshaufyatua na ana watoto, jusa bado ameufyata. Halafu majitu mazima yanapiga meza na kushangilia. Si wenda wazimu huo?

Huyu mama ndo wa kuufyata?
 
Hv huyu aliteuliwa au alipigiwa kura kabsa na wananchi wnye akiri zao timamu!.
Bunge le2 ndo linaweza kuwa bunge no 1 duniani kwa wabunge vilaza
 
hapa kuna mkono wa ukawa, mchage tueleze nahili cdm wanahusika?
 
Huyu mama ni kati ya wajumbe ambao hawajui wameenda Dodoma kufanya nini, namuombea apewe bed rest mpaka bunge liishe
 
Mungu amsaidie apate nafuu. Ili arudi bungeni kuendelea kuwapigania watanzania.

hivi mziki wa ebola ukiingia huko mjengoni, bado mtaendelea kusema Rais hana madaraka ya kusitisha bunge!? (GOD FORBID)
 
Dalili za ebola hizo waangalie
 

Pole Sana Bi Asha ....wa kufytua...

Kutokwa Damu puani na mdomoni madaktari hatua ya kwanza ni kum suspect Kama Mgonjwa wa Ebola hadi Majibu yake yakitoka Ndio aruhusiwee kutibiwa general ward
 

Hahahhahaa eti ample bed rest miaka miwili akiamka.akute dunia yake haipo hahaahahah
 
Labda s3xy drop a.k.a viagra ya ke! Si ebola....

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
ASHA BAKARI AANGUKA BUNGENI ..ANATOKWA DAMU PUANI ,MDOMONI,NA MASIKIONI .....NI DALILI YA EBOLA
KADIRI YA MUONGOZO WA WIZARA YA AFYA MGONJWA MWENYE DALILI YEYOTE YA AINA HIYO HUCHUKULIWA NA KUTENGWA ( kubaguliwa Kama alivombagua jusa ) HADI MAJIBU YAKE YATOKE ..NDIO HUCHUKULIWA KUWA ANA UGONJWA ..TOFAUTI ....

NA KADIRI YA UTARATIBU WA AFYA MAAFISA WA AFYA ITABIDI WAWEKE WOTE WALIOKUWA BUNGEN ALIPOANGUKA ...KWENYE GARANTINI HADI MAJIBU YA BI ASHA YATOKE...HIII PIA KAMA TARATIBU ZA AFYA ZITAFUATWA ITAHUSISHA ..KUSITISHA SHUGHULI ZOTE MAHAALA HAPO
 
Pole kwq bi asha namuombea apone ila asiende kule kuliko laaniwa kwasasa mpaka kutakapo takaswa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…