Asemavyo KIPANYA....

Asemavyo KIPANYA....

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,343
Reaction score
111,605
Hata kama wasipolionesha moja kwa moja hilo Bunge, bado watakutana na ugumu huu....

2013-02-17+09.14.5458939169.jpg]
 
Amesema kwel haina haja kuacha kurusha vpindi laiv kwan ni sehem ya serikal kupata changamoto na kuzidi kujitolea zaidi kutumikia wananchi!
 
Kipanya is super intelligent... keep it up with this form of educating our lazy leaders!
 
Lazima wakubali kung'oka kwani wao nani? wanajidai hii serikali ni mali ya CCM hakuna hiyo kitu, lazima waachie na wenzao nao watoe mchango ss wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote
 
kipanya siku hizi hana dili amekuwa mwoga sana, anaongea vitu too general.
 
Back
Top Bottom