comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,197
- 16,399
- Thread starter
- #21
aseeeUlimpeleka kwenye kiwanja ambacho anauzoefu nacho
aseeeUlimpeleka kwenye kiwanja ambacho anauzoefu nacho
amejuaje kama zinakuaga zimelegea?Ilitakiwa uongeze kasi na kupiga kwa Fuji zaidi ili uhakikishe kama zitaanguka kweli..ndio uprove otherwise hauna ushahidi
Njoo na vitafunwa kama vipi tukamilishe breakfastChai
hapo umemjibuNjoo na vitafunwa kama vipi tukamilishe breakfast
oh.... sawakwamba amekizoea kitanda msee wangu