Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.


Haya maneno ni mazuri, yanastahili kuwa utangulizi sijui kitabu gani cha cdm? Dr. Slaa is ready for the presidency. Tutoe support yetu yote kuhakikisha lengo ili linatimia.
 

Wamechemsha sana mkuu!
 
Haya maneno ni mazuri, yanastahili kuwa utangulizi sijui kitabu gani cha cdm? Dr. Slaa is ready for the presidency. Tutoe support yetu yote kuhakikisha lengo ili linatimia.

Maneno kama haya ni wazi yanampa Faraja kubwa Simba wa Tanzania Dr Slaa.
 
Mimi nimefurahi sana moyoni mwangu. Mungu utubariki kama RSA. Freedom is coming tomorrow. Hata kule Africa Kusini kuna watu weusi waliokuwa wakimbeza Mandela.
 
hongera sana dr slaa mimi kweli nimefurai kwa ziara yake imeonyesha kwa walichokiamua kamati kuu pengine kilikuwa sahihi, lakini pia napongeza sna slaa kwa kelele adia slizopiga kwe nye nchi hii kweli zimesaidia
 
Jamani tuache utani Dr.Slaa anaweza, binafsi namkubali na pia nampongeza kwa ujasiri alio nao, hakika watanzania wengi tupo nyuma yake, kama wana jf walivyokwisha sema anatawala mioyoni mwetu, Mola amlinde, amtie nguvu hekima na busara katika harakati za kuikomboa Taifa letu.
 
Ili kuifikia Tanzania tunayoitaka tunahitaji chama makini na viongozi makini kama akina Dr.Slaa, hongera kwa kumaliza salama ziara ya Kigoma.
 
Ninauakika Dr. Slaa akirudi Kasulu waliompiga mawe atawasamehe, lakini pia atapokelewa zaidi ya mara nne ya umati uliokuwepo wakati ule. In fact nashauri cdm immpe ruhusa kurudi maeneo hayo si muda mlefu kuanzia sasa.
 
DR SLAA GWIJI LA SIASA na TEGEMEO HALISI LA WATANZANIA , MUNGU AKULINDE BABA .
 
Mimi nimefurahi sana moyoni mwangu. Mungu utubariki kama RSA. Freedom is coming tomorrow. Hata kule Africa Kusini kuna watu weusi waliokuwa wakimbeza Mandela.

nakupongeza sana mkuu , bila kung'ata ulimi DR SLAA NI MFANO HALISI WA MANDELA .
 
Molemo anajitahidi sana kumlisha maneno Dr Slaa. Hakika ziara yake imetonesha majeraha ya wana kigoma kutokana na mipango ovu dhidi ya kijana wao

Unataka kutuaminisha kwamba watu wa Kigoma wanataka wanasiasa waongo,wazushi,wanafiki na wabinafsi?maana leo AG ameliambia bunge ya kwamba Zitto alikiri mbele ya kamati kwamba hana majina wala account za walioficha fedha Uswis,sasa majreha yaliyotoneshwa ni kwa kipi? Maana kama wanakigoma walidhani kijana wao ni meadilifu basi hakuna kitu,na ndio maana CC ilimvua nyadhifa zake zote .
 
Simba wa Tanzania! Labda wa kukausha au wa kuchora?!
 

Maneno yako na yapate kibali machoni mwa Mungu!
 
Hata mimi nimewasifu watu wa Kigoma, Nasema asanteni sana. Kuweni makini mtaujua ukweli wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…