Asanteni NBC Bank mmetutumia na sasa mmetu-dump

Asanteni NBC Bank mmetutumia na sasa mmetu-dump

Vijana kuweni macho msikubali ajira NBC. Kwanza ni Benki ya makaburu na wananyanyasa sana watumishi wao.
 
Makaburu washauziwa bank hiyo na viongiz wenu wapu.mba.vu nchi hovyo hii polen sana
 
Hii bank washenzi sana, leo nililazimika kupata huduma zao Mbeya mjinimajiara ya saa tisa jion, nimepanga foleni kwa takribani masaa mawili wahudum kabaki mmoja madirisha yote wamefunga, tena wanapiga stori hata habari hawana. Wateja foleni ndefu kila mmoja analalama, nikauliza hii ndo mbeya mjin? Nikaambiwa ndiyo, nikapigwa mshangao

Inaonekana dhahili manegiment yake imelala fofo na nakubaliana nawale wanaosema inakufa.

It cannot be accepted to stand on que for that long with the current tecknowledge and competition between service providers.For sure customers will not stand the disturbance than separating themselves slowly.
 
Bora account yangu niliifunga huko ila huku ni likofungua nako ndo kwa babu yao stress tupu kila mwaka wanafunga branch.
 
Hii bank washenzi sana, leo nililazimika kupata huduma zao Mbeya mjinimajiara ya saa tisa jion, nimepanga foleni kwa takribani masaa mawili wahudum kabaki mmoja madirisha yote wamefunga, tena wanapiga stori hata habari hawana. Wateja foleni ndefu kila mmoja analalama, nikauliza hii ndo mbeya mjin? Nikaambiwa ndiyo, nikapigwa mshangao

Inaonekana dhahili manegiment yake imelala fofo na nakubaliana nawale wanaosema inakufa.

It cannot be accepted to stand on que for that long with the current tecknowledge and competition between service providers.For sure customers will not stand the disturbance than separating themselves slowly.

tatizo la foleni siyo la Mbeya mjini tu... nenda branches zote... ni the same problem na hii ni kutokana na upungufu wa nguvu kazi iliyopo....
 
!
!
dah!inauma mno.......hiyo ipo tanzania tu,hebu tujaribu na Tanganyika basi jamani.
mkute mnaonewa ija kwenye kufanya mabadiliko mnakuwa nyuma.
 
Mh! ngoja wiki ijayo nikatoe vi-milioni vyangu,kama hali ndio hii huenda ikafa hii............!
 
Kuna mshua wa rafiki anafanya kaz hapo tena senior position ana declare kuwa hiyo benk nw going worse almost to die, poor management, ila ni serikali tu inaishikikia haitaki kuona inakufa though makaburu wameshashindwa na kinachofanyika xaxa ni kupunguza wafanyakazi kwa kas cz they need to reduce the cost of operation. In each single day wana vikao agenda ni hw to secure NBC and conclusion is to reduce an employees as much they can, u cn get today job at NBC and after few days u get suprise of being terminate. In short NBC nw is not safe place.Almost to die.

Kweli hii benki imezorota hivyo??ilikuwa na bado ni benki nzuri sana,ina maana mnatushauri tuwithdraw viakiba vyetu mapema au???lakini kwa sababu serikali imesikia kilio hiki,wadau tuamini benki hii haitakufa na itafufuka na kuwa imara.
 
chezea nbc wewe, kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi hapo miaka ya nyuma, alikuwa analalamika sanaaa, kila sku kulia njaa analalamika watoto wanaoingia na vyeti vya form six wanamzidi mshahara kisa wameigia kwa vimemo, alikuwa na hasira sana, baadaye alikuja kutoweka ghafla, baada ya kupeleleza nikaambiwa aliwapiga vibaya mno nbc akachapa mwendo kusikojulikana! mnapofanya kazi kuweni tu wajanja, mnapopewa vjimkopo hivyo msinunue altezza, fanyeni biashara!
 
Banking industry ni delicate sana, nadhani hata kabla ya leo mlikuwa mnajua au kusikia kinachoendelea, polen, najua wana JF wenye akaunti hiyo benk wanataman kukuche wakakwangue akiba zao
 
Kwanza tulianza tukiwa chini ya Erolink ndani ya NBC toka mwaka 2011, huku tukipewa mikataba ya miezi sitasita mpaka ilipofikia mwaka 2013 September mkasema hakuna staff atakaekua chini ya Erolink tena.. hivyo wote tukawa chini ya NBC kwa mikataba ya mwezi mmoja, miwili, mitatu......

tulifanya kazi kwa weredi na nguvu zetu zote tena bila ya hata malipo ya overtime... tukiamini mtaziona juhudi zetu na kutufikiria katika ajira.....
bahati mbaya sana hata nafasi nyingi ambazo zilikua zikitangazwa tuliomba ila hatukua hata tukiitwa kwenye interview ila tlikua tukiona sura mpya kabisa zikiajiriwa hali nasi tukiwa bado benchi.....

... bado hatukufa moyo kwani pamoja na kufanya kazi kwa weredi mkubwa hata kwenye idara nyeti kabisa.. tuliendelea kupiga kazi huku tukiamini maneno ya MD mama Mizinga Melu kuwa hakuna atakakosa nafasi.... masikini ya Mungu kumbe tulikua tukidanganywa....

Tukaanza kuona baadhi ya wenzetu wakipunguzwa kuanzia mwezi wa 12 mwaka jana hatukuamini..... sasa ilipofikia 31.03.2014 ndipo tukaamini kua halaaaaa kumbe nasi hatuitajiki tena?
ni zaidi ya vijana tupatao 2000 tupo mitaani sasa baada ya kuitumikia benki kwa muda wa miaka miwili wengine mwaka na zaidi.....

Sawa mmeamua kutu dump.... lakini mbona mafao yetu ya PPF nayo mnazungusha??
kuna vijana wapo nje ya bank toka mwezi wa 12 mwaka jana lakini mpaka sasa wanasotea hela zao za mafao ya PPF.... wakienda NBC HQ wanaambiwa check zenu bado hazijafika.... kweli?? toka mwezi wa 12??
mbaya zaidi na zaidi..... pesa zetu za "leave allowance". nazo tunaambiwa hatupaswi kulipwa??, kweli??
tuna ushahidi wa baadhi ya watu waliofanya kazi na erolink kwa muda wa miezi sita lakini pesa zao za leave walipewa..... kwanini iwe tofauti na NBC??

Sawa mmetu dump tunakubali... basi tukamilishieni tunachostahili tuende kwa amani... napo mnatupiga danadana.... hii ni haki??

ni hayo tu...
hapo ndo utajua kwanini watu huiba benk daily.. poleni sana..
 
Back
Top Bottom