sweetlady kuondoka rahisi dear lakini sharti lake unajua huyu bwana anasema watoto atawachukua na watoto wangu wote wa kike maskini nimewazaa kwa tabu na mama angu na ndugu zangu wote wamenisamehe mama angu ananiambia niachane nae ni mnyama huyu mara nyingi tu nimetolewa humu ndani nafukuzwa bila viatu kisa ukimtell kama y unarudi alfajiri
Hahaha... Utasutwa wewe, shauri yako... Nasikitika bana mdada anateswa na mumewe wa ndoa.. Wanaume wengne utafikiri hawajazaliwa na wanawake.. Inatia hasira bana. ..mama weeee! Sweetlady kapandisha mzuka.
Habari zenu wapendwa mie mwenzenu nimepatwa na kasheshe nyingine sasa, mume alinisusia wiki tatu alikuwa haongei na mimi. Alikuja kuongea juzi, mnajua kani miss eti he he wanaume wakiwa na haja yao ndo wanakufata kwa uongo. Sasa baada ya mwezi ndo kaja kukutana kimwili dakika 5 na kadischarge ndani kinguvu bila permission yangu.
Sasa naomba kuuliza nitakuwa nimeshika mimba au la nilipata period tarehe 10 nilimaliza 16 tumeonana tarehe 24 je naweza kushika mimba niliomba msaada kwenye JF doctor lakini naona wengine wananitosa wanafikiri nataka kuua,je mngekuwa nyinyi dada zangu na jitu kama hili la kutesa mngekubali kupata tena mtoto na hapa na mtoto bado miezi 4 nisaidieni.
asante miss judith

<br / tatizo lk ni kutokujiamini unahofu kw ukitetea haki yk mume atakuacha, unampenda sn mumeo lkn mume hakupendi tn anakudharau. ndgu simamia haki yk utadhalilishwa hd lini? mumeo atakutesa na atakuzalisha sn ukichakaa anakufukuza anaoa mke mwngnHabari zenu wapendwa mie mwenzenu nimepatwa na kasheshe nyingine sasa, mume alinisusia wiki tatu alikuwa haongei na mimi. Alikuja kuongea juzi, mnajua kani miss eti he he wanaume wakiwa na haja yao ndo wanakufata kwa uongo. Sasa baada ya mwezi ndo kaja kukutana kimwili dakika 5 na kadischarge ndani kinguvu bila permission yangu.

Sasa naomba kuuliza nitakuwa nimeshika mimba au la nilipata period tarehe 10 nilimaliza 16 tumeonana tarehe 24 je naweza kushika mimba niliomba msaada kwenye JF doctor lakini naona wengine wananitosa wanafikiri nataka kuua,je mngekuwa nyinyi dada zangu na jitu kama hili la kutesa mngekubali kupata tena mtoto na hapa na mtoto bado miezi 4 nisaidieni.

<br / aisee ht mm nampenda saaana mume wng na nimelala naye kwnye maboksi mpaka ss tnamiliki mali kadhaa lakini siwez vumilia aninyanyase ht kidogo, yn aisee haiwezekani km ni pesa ntatafuta yn nachapa wendo, MUNGU YUPO ATAMLIPA mi cjui ww unang'ang'nia nn? Hy mumeo ni mwarabu?mana ndo tabia zao hz.nampenda sana mume wangu hata mwanaume mwingine simwangalii nakuwa sina time nao hata mtu akinitongoza namwambia mume wangu niko honest but still ndo hivyo
Kweili kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, lakini maoni haya ya kuwa "mmoja kutoka nje ya ndoa kunasababishwa na kukosa kitu fulani toka kwa mwezake" ni hoja ambayo haikubaliki. Ikiwa tu mdau katika ndoa atakumbuka ahadi ya ndoa kamwe hatofikiria kwenda nje ya ndoa ili kujaza pengo.Pia maisha si kukomoana, bali nyendo zake hizo zitamfikisha mahali atakutafuta na kukupigia magoti!
Je njia za kusuluhisha ndoa hii zote zimeshindikana?
Huoni kuwa labda wewe binafsi una tabia moja ya kishenzi inayom'boa sana bwanako, maana si rahisi ukajiona!
Hivi mume kuwa na tabia mbaya (kama ya ulevi, uzinzi, dharau, maneno machafu, kumpiga mkewe) kunasababishwa na tabia mbaya za mke? Nahisi kama kuwaza hivi ni kuishi katika himaya ya "mfumo dume".Nafikiri kuna kitu ambacho kimemfanya mume wako awe na hizo tabia
Angalia mienendo yako na ujichunguze mahali ambapo ulikosea na ujirekebishe mapema
Kwenda nje ni kumkomoa mumeo na hapo hujafanya lolote la maana
Je ushawashirikisha wazazi au mshenga wa ndoa yako kabla ya kufikia maamuzi haya
[Maelezo ya juu yanahusu hoja hii pia]Badala ya kufikiria mawazo ya kwenda nje ili kulipiza yale anayofanya mme wako, ni vema ukautumia huo muda kufanya utafiti wa kina kufahamu ni nini anachokikosa kwako mme wako ili ukifanye kiwepo na asiwe na mawazo ya kwenda kukitafuta nje.
Na wewe dada yangu umezidi! Eti "kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja". Karibi siamini ninachokisikia! Utakubalije mtu mzima na akili zakoi uzalishwe? Hivi huelewi njia yoyote ya kukufanya usizae kama kutaki?kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja ili niwe busy na watoto ye afanye mambo yake hivi kweli jamani wanaume wanaroho ngumu namna hiyo now nimepatwa na matatizo fulani ya magoti kulia nikichuchuma au nikibend zinalia sielewi ni nini au yale maji ya uchungu yanaifect naomba ushauri
Kwanza naungana na hasira za SweetLady! Unlucky, umejilegeza sana. Kila mara "Bwana anasema", "Ninamwachia Mungu"... hakuna cha bwana kasema wala cha kumwachia Mungu. Mungu anasaidia wale tu wanaojisaidia na wala sio wale wanaolialia tu na kusubiri kudra ya Mungu. Ukiwa hivi nakuhakikishia hutopata chengine zaidi ya majeraha ya kipigo cha mumeo, makovu ya unyanyasaji wake na hatimae kifo.sweetlady kuondoka rahisi dear lakini sharti lake unajua huyu bwana anasema watoto atawachukua na watoto wangu wote wa kike maskini nimewazaa kwa tabu na mama angu na ndugu zangu wote wamenisamehe mama angu ananiambia niachane nae ni mnyama huyu mara nyingi tu nimetolewa humu ndani nafukuzwa bila viatu kisa ukimtell kama y unarudi alfajiri
Pia maisha si kukomoana, bali nyendo zake hizo zitamfikisha mahali atakutafuta na kukupigia magoti!
Je njia za kusuluhisha ndoa hii zote zimeshindikana?
Huoni kuwa labda wewe binafsi una tabia moja ya kishenzi inayom'boa sana bwanako, maana si rahisi ukajiona!
Mimi nina ushauri mmoja tu kwako, kusali umesali sana, na unamfanyia yote mema ambayo hata sie hatufanyi na bado unadharauliwa ,
Kama hajaweza kukuendeleza kielimu ama kikipato kwa miaka yote 6 mliyoishi pamoja, wewe uko naye unasubiri nini? Au ni unaishi 'a Tanzanian dream' ile dream ya kuwa married ndio kipimo cha mwanamke?
Funguka dada, achana na huyo mwanaume na urudi kwa mama yako ukae utafute cha kufanya, kama ni kisomo ama kazi, je elimu yako ni ya kiwango gani?
Kuhusu watoto , hii ni excuse ninaisikia kila kukicha kuwa nataka niondoke lakini watoto!! Watoto hawatakufa njaa, mwachie hapo nenda ondoka hata leo usitake mpaka akupatie Ukimwi ama ulemavu, sikubaliani na yeyote anayesema umuombee ili abadilike! Christ! Hata Mungu hapendi tukae kwenye abusive relationship in the name of love...
Naomba ukija kucomment uelezee mpango wako wa maisha ya baadae huku ukiwa kwa mama...mwanaume hajakugusa miezi anakugusa only once na ndio siku anayocheka na wewe ?!
Bidada pls fuata ushauri wa sweetlady
Kuna dada mmoja amesema tabia zako za kishetani, sielewi kwanini watu mko mbio kuhukumu, kwanini usiseme tabia za mwanaume za kishetani ilhali zimeonyeshwa, unapomsema mwenzio ana upeo mdogo wa uchambuzi wa mambo, haisaidii, ile kuleta mada yake humu ni hatua, ujue safari ya hatua elfumoja huanza na hatua moja...
Dada usikonde na mawazo hebu toka kwa bazazi huyo, hujazaliwa kwa ajili yake, na hata ukitoka sio umekashfu Mungu wako, endelea kumtumikia kwa uhuru nje ya huyo mpigaji, mnyanyasaji,mlevi,mzinzi na mbakaji yes! Majina yote yanamfaa yeye

<br / kama ni ushauri umeshapewa wakila aina na wachangiaji tofauti tofauti bado unasema huyu MUME UNAMPENDA SANA SANA inamaana pamoja na mateso unayopata kamwe huwezi kumwacha mumeo sasa ndugu yngu ungeweka wazi ni msaada gani unapenda upewe na wana jf? 1. Wa maombi 2.wa kazi (ajira) 3. Kiafya au 4. Iundwe tume tk jf ije iongee (imrekebishe) mumeo? Mana sielewi hatima ya ushaur wa wana jf.mie nimesoma mpaka form four na computer corse pia na nilikuwa nafanya kazi kabla ya kuolewa kwenye bank ndo huyu bwana nilimpata hukohuko mpaka kaniachisha kazi na mie menstruation cycle yangu ni 34 mie namvumilia huyu bwana coz nampenda kufa sana sana sijui kaniroga dah

<br / kama ni ushauri umeshapewa wakila aina na wachangiaji tofauti tofauti bado unasema huyu MUME UNAMPENDA SANA SANA inamaana pamoja na mateso unayopata kamwe huwezi kumwacha mumeo sasa ndugu yngu ungeweka wazi ni msaada gani unapenda upewe na wana jf? 1. Wa maombi 2.wa kazi (ajira) 3. Kiafya au 4. Iundwe tume tk jf ije iongee (imrekebishe) mumeo? Mana sielewi hatima ya ushaur wa wana jf.