ufike salama mke mwenza, natumai mume wangu ulimuacha salama lol!!!
Mume wetu hajambo kabisa.
Nilienjoy nae sana tuuuu
Kwani dada wewe hukuwa na mumeo? unakubalije mume aende na wengine oooooooooh! mjini hapa wasipokuja na mlango wa mbele watakuja na mlango wa nyuma kuwa mwangalifu na mumeo
mdogo wangu nimepata safari nje ya mkoa mwenzio, ila namuamini shemejio hawezi nitenda
mambo ya arachuga.....
ulikuwepo.............?
mimi nilikua nafanya kazi ya ulinzi niliwaona wakienda chobingo sijui ilikuaje huko.
ulikuwepo.............?
ulikuwepo.............?
mkiva hebu nieleze vizuri ilikuwaje huko chobingo?
yah.....tulienjoy sana..........sasa bado Mwanza.........
sio ya mchezo.........Chugga tunatisha........