ASANTEN WANA Jf

florence

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
423
161
Leo nimerudi jukwaani kutoa matokeo ya ushauri wenu mlionipa kwenye post yangu iliyotaka mnipe ushauri kwanini nakuwa siconcentrate na comfidence. Nimefuata ushauri wenu na nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu kwani nimeshahudhuria mikutano kadhaa na kuwasilisha mada kadhaa naona nimeimprove kwa kiasi kikubwa ila kitu kingine ambacho cjakielewa ni baada ya kuwasilisha mada zangu watu wanakuwa hawana maswali ila wanaonyesha nyuso za tabasamu, ina maana wameridhika na wameelewa au hawajaelewa? Endeleeni kunisaidia mwenzenu.
God Bless you
 
Kutokana na expression unayoonyesha huwa wanaona wakikuuliza maswali utapoteza mwelekeo na kuchanganyikiwa!
 
Tabasabu inamaana nyingi na huwezi kumsoma mtu mara moja,inawezeka kweli ameridhika, au anaona yeye angeweza kufanya zaidi yako,lakini chamsingi ni wewe unavyo toa mada kwao na unavyojiamini ndio utaweza hujua wapi sawa na wapi ulichemsha, lakini kama umefanya na wamefurahia basi ndio dalili za kukukubali all the best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom