Asante wana Jamii/Mke wangu sasa kashika Mimba.

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,898
Reaction score
1,051
Habari zenu!!

Kama mtakumbuka nili post miezi minne iliopita kwamba mke wangu hazai kutokana na sindano za majira alizochoma.Niliangaika sana katika Hospitali mbalimbali kama Kariuki,mhimbili na Amana bila mafanikio.Humu jamii kuna baadhi ya watu walinishauri niende kwa watu wanaotoa dawa za miti shamba,kwa kweli nilikuwa nikiwadharau sana watu hawa kutokana na kwamba kuna baadhi yao nilishaenda kwao bila mafanikio japo kwenye Tv na maredio walijitangaza sana kwamba wanaweza.Nilifikia hatua kwamba nimwache mke wangu lakini nilikumbuka tulikotoka nikaona hilo jambo ni gumu sana ikabidi niangaike zaidi,namshuru Mungu nilimpata mtu mwenye dawa za miti shamba alimpa mke wangu dawa akamwambia atashika mimba ndani ya mwezi wa kunywa dawa au mwezi utakaofwata,Namshukuru Mungu mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja kwa sasa,Huyu mtu alienipa dawa si mganga wa kienyeji na hapigi ramli anachotoa ni dawa tu tena anaichemsha.Napenda niwaambie watu ambao wako katika ndoa na hawajapata mtoto na wanahitaji wasisite kuwasiliana na mimi ila uwe umeshaenda kwa madaktari bingwa wewe na mwenzi wako na ikathibitika kwamba wote mna uwezo wa kuzaa ila hamjazaa,tena mje na cheti wote wawili kutoka kwa daktari kuonyesha wote ni wazima.Kama mke alichoma sindano,vidonge au vijiti au chango asisite kuniona,kumbuka hamna ramli.Namba yangu ya simu ni 0784 942744. Kama hutakuja na cheti cha daktari kuonyesha una uwezo wa kuzaa naomba usinitafute kwa maana sitakusaidia.
 
waooooo!!hongera sana best
kwa mungu yote yanawezekana
mungu ampe afya njema
wifi yetu pamoja na kijacho!!
 
Asante kwa taarifa, ila isije ikawa unatafuta mtu wa kumfanyia majaribio ya dawa zako.
na kama ni mfano alichemshiwa majani ya mbuyu, kwanini usiweke hapa tujitengenezee wenyewe nyumbani badala ya kuanza kukutafuta/
 
Habari zenu!!

Kama mtakumbuka nili post miezi minne iliopita kwamba mke wangu hazai kutokana na sindano za majira alizochoma.Niliangaika sana katika Hospitali mbalimbali kama Kariuki,mhimbili na Amana bila mafanikio.Humu jamii kuna baadhi ya watu walinishauri niende kwa watu wanaotoa dawa za miti shamba,kwa kweli nilikuwa nikiwadharau sana watu hawa kutokana na kwamba kuna baadhi yao nilishaenda kwao bila mafanikio japo kwenye Tv na maredio walijitangaza sana kwamba wanaweza.Nilifikia hatua kwamba nimwache mke wangu lakini nilikumbuka tulikotoka nikaona hilo jambo ni gumu sana ikabidi niangaike zaidi,namshuru Mungu nilimpata mtu mwenye dawa za miti shamba alimpa mke wangu dawa akamwambia atashika mimba ndani ya mwezi wa kunywa dawa au mwezi utakaofwata,Namshukuru Mungu mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja kwa sasa,Huyu mtu alienipa dawa si mganga wa kienyeji na hapigi ramli anachotoa ni dawa tu tena anaichemsha.Napenda niwaambie watu ambao wako katika ndoa na hawajapata mtoto na wanahitaji wasisite kuwasiliana na mimi ila uwe umeshaenda kwa madaktari bingwa wewe na mwenzi wako na ikathibitika kwamba wote mna uwezo wa kuzaa ila hamjazaa,tena mje na cheti wote wawili kutoka kwa daktari kuonyesha wote ni wazima.Kama mke alichoma sindano,vidonge au vijiti au chango asisite kuniona,kumbuka hamna ramli.Namba yangu ya simu ni 0784 942744. Kama hutakuja na cheti cha daktari kuonyesha una uwezo wa kuzaa naomba usinitafute kwa maana sitakusaidia.

Ninaomba uniweke sawa
1. unasema ulikwenda kwa mtu akakupa dawa.
2. alikwambia mkeo atapata mimba within a month
3. unasema mtu mwenye tatizo aje kwako!!!!!!!!
4. awe na cheti cha Daktari.. vinginevyo huta msaidia!!!!

Sasa wewe ndio unatoa dawa? au utampeleka huko ulikokwenda wewe?
Hlf hii namba ni yako au ya huyo aliekusaidia?
Samahani kwa maswali.. ninahitaji tu kujiridhisha nami ni mwana jamii.. maana pale Mbuyuni siku hizi matangazo ya waganga wa tiba za jadi yameondoshwa sasa nasi tusiwe tunatangaziwa KIAINA
 
Hongera..! Ila mimi nadhani ingekuwa vema ungetoa namba ya simu ya huyo mtaalamu kuliko kutoa namba yako..!
 
Hapo kwenye cheti unakosea kwani wewe ulionyesha cheti mpaka ukasaidiwa?
 
biashara matangazo
kuumwa uumwe wewe
msaada uombe wewe
kusaidiwa usaidiwe wewe
daktari bingwa uwe weweeee
majangaaaa ooh majangaaaa

dawa uzitoe wewe
mtoto ukose wewe
utasa wapate wao
majangaaa ooh majangaa

nahithi kidhungu dhungu
 
Mimi dawa sitoi ila ukitaka nikuelekeze kwa mtoa dawa ni lazima wewe na mwenzio unionyeshe kwamba mna uwezo wa kuzaa ili kuepuka lawama,kuna watu wanakuwa na matatizo ya uzazi kisha huwaficha wenzi wao.Sitaki lawama ndio maana nimeweka sharti hilo.Mimi nina kazi yangu na sijui dawa ila ukitaka udhibitisho nilivyoangaika mke wangu kupata upo.
 
Dunia ina mambo na vijambo!wachangiaji wa JF raha tupu!
 
Back
Top Bottom