Asante wana Jamii/Mke wangu sasa kashika Mimba.

Asante wana Jamii/Mke wangu sasa kashika Mimba.

hili tangazo la biashara mbona halijalipiwa
 
yaani unanitibua unavyokomalia uoneshwe vyeti kama wewe ndio mtoa hiyo dawa. We peleka watu wakapewe hicho kikombe mwenzio loliondo mbona hakuwa na hiyani. Aaaaah punguza vikwazo
Baada ya kuteseka sana, na hatimaye kufanikiwa kupata ujauzito, nilitegemea atamshukuru mungu, na kulipa fadhila hiyo kwa kuwaelezea wenye shida mahali huduma hiyo inapopatikana.
badala yake amegeuka kuwa shujaa na kumsahau mungu wake, huku akiweka masharti magumu, kana kwamba yeye ndiye mganga mwenye.
Tunamtakia kila la kheri katika kazi yake mpya.
 
yaani unanitibua unavyokomalia uoneshwe vyeti kama wewe ndio mtoa hiyo dawa. We peleka watu wakapewe hicho kikombe mwenzio loliondo mbona hakuwa na hiyani. Aaaaah punguza vikwazo

Zakiyah.Yawezekana mume au mke akawa ni mgumba matokeo yake lawama nitapata mimi nilieonyesha mtoa tiba.Wewe tibuka tu ila kama hujapitia hosp. Sitakupereka.nalinda heshima na uaminifu na ukweli na uwazi.
 
Nimecheka sana ila simlazimishi yeyote aje kwangu nimwelekeze huko ila ukitaka kuja bila kutimiza hilo sharti SITAKUPELEKA,NARUDIA TENA SITAKUPELEKA.
 
umeona usiende jukwaa la matangazo ila uje na staili hii,
aisee tangazo lako la biashara kali,
 
Ilikuwa ni msaada tu kwa wale wenye shida kama ilivyokuwa kwangu.sasa mtu yeyote asinitafute.nimesitisha zoezi na wale wote waliotuma sms na kupiga simu msipige tena sitawasaidia.nimesitisha.
 
Kama utaweza kumfikia sawa tu ila ukipitia kwangu ni lazima unionye hivyo vitu ili kuepuka lawama,isije ikawa wewe ni mgumba alafu ukanipa lawama eti mimi ni tapeli
kumbe wewe ndio mgumba.napenda kueshiwa.mimi nina kazi yangu.

Kwani aliyekuelekeza wewe naye alikupa hayo masharti?
We acha mganga ndio awape hayo masharti ya vyeti
 
Hongera sana maana naikumbuka sana hiyo topic
 
Subiri kwanza mkeo azae babuu ndo uipige hiyo promo na una uhakika gani tumboni kabeba mtoto??

Sikuombei mabaya ndugu ila dawa za kupewa vichochoroni mara nyingi zinaletaga matokeo ya ajabu ajabu so mwombe Mungu alafu piga kimya tusubiri azae ndio uweze kumpromote huyu bwana miti shamba
 
hapa hujanishawishi hata kidogo
hayo maelezo yako yanipa kichefuchefu
promo iko mbele mbele
promo iko mbele mbele
 
tofauti ni kwamba wewe umetumia jf kujitangaza badala ya magazeti
 
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine au ni Mganga kawa waganga wengine. Mkuu, umejichanganya sana ktk maelezo yako.
 
Kama utaweza kumfikia sawa tu ila ukipitia kwangu ni lazima unionye hivyo vitu ili kuepuka lawama,isije ikawa wewe ni mgumba alafu ukanipa lawama eti mimi ni tapeli
kumbe wewe ndio mgumba.napenda kueshiwa.mimi nina kazi yangu.

duh mke mwenyewe ndio kwanza mimba miezi minne.... safari bado ipo..
 
Habari zenu!!

Kama mtakumbuka nili post miezi minne iliopita kwamba mke wangu hazai kutokana na sindano za majira alizochoma.......,Namshukuru Mungu mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja kwa sasa,,.

Ulitakiwa kusubiri hii mimba kufikia miezi 3 ndio utoe habari na asante.

Mimba ya mwezi ni kweli imeingia lakini pia ni rahisi kutoka.

Endelea kusali,endelea na maombi na mwenye mimba aepuke kazi nzito
 
hahahaha mbona madaktari wa kufoji vyeti mjini wamejaa tele,labda useme condition nyingine.
 
Mimi dawa sitoi ila ukitaka nikuelekeze kwa mtoa dawa ni lazima wewe na mwenzio unionyeshe kwamba mna uwezo wa kuzaa ili kuepuka lawama,kuna watu wanakuwa na matatizo ya uzazi kisha huwaficha wenzi wao.Sitaki lawama ndio maana nimeweka sharti hilo.Mimi nina kazi yangu na sijui dawa ila ukitaka udhibitisho nilivyoangaika mke wangu kupata upo.
Mkuu ulichokosea wewe kwenye thread yako ni kuahidi kutoa dawa, kutaka watu waje na cheti cha daktari kuonyesha ukamilifu wao wa uzazi, na kubwa kutoa namba yako badala ya namba ya mtaalamu wa tiba.
Ndo maana wanajamii wameona kama advert isiyo lipiwa kodi iviii... Sasa cha kufanya weka namba ya mtaalamu alomtibia mkeo, sidhani kama ataogopa kupokea wagonjwa kwa utetezi wa eti sitaki wasio zaa. UKIAMUA KUWA DENTIST, USIOGOPE HARUFU YA MIDOMO...
 
Back
Top Bottom