Asante wana Jamii/Mke wangu sasa kashika Mimba.

Asante wana Jamii/Mke wangu sasa kashika Mimba.

Watanzania bana aliomba ushauri akapewa bila mashart,sasa amefanikiwa anawapa wenzie mashart km yeye ndio mganga jaman hebu kua na huruma,hivi unamsaidia kulipa hela had useme atakulaumu wakati anashida zake,fikiria kw makini
 
Nimefata na kuisoma topic kwa makini kiasi.
Namshukuru Mungu nimeelewa picha japo kiasi.
Sikulaumu wala Sikupongezi.
Ila nina maswali kadhaa kwako..
1.Hivi huyo aliyekupeleka kwa huyo mwenye mitishamba alikuambia anataka ""VYETI VYA DAKTARI??"
2. Hivi wakati anakupeleka alikua na lengo la kukusaidia ama KUTUNZA HESHIMA??
3. Alikupa namba zake ama za mwenye "MITISHAMBA"??
4. Alikupa sababu za kwanini anafanya aliyo yafanya ili AFAIDIKE YEYE AMA AKUSAIDIE WEWE??
5. Je kutokujibu kwa sms ulizotumiwa na kutokupokea simu unazopigiwa ndio KULINDA HESHIMA AU KUONYESHA BUSARA??
6. Kwanini UMEZIRA KWA KUJIBU KWA HASIRA??
Ukiyafikiria hayo Maswali vyema utafanya MABADILIKO MAKUBWA KWENYE UZI WAKO.
Asante Mkuu.
Nawasilisha.
 
dawa sitoi mimi ila nitakuelekeza kwa mtoa dawa ila kabla ya kukuelekeza itabidi mnithibitishie kwamba mna uwezo wa kuzaa yaani uwe umepitia kwa doctor kumbukeni kuna wagumba wa kike na kiume na wengine huficha na kupenda kuwalaumu watu ili kuficha madhaifu yao.sikulazimishi wala kukubembeleza bila cheti usije.

we ni mjinga kama sio punguani. Kwani huyo aliyekupeleka wewe ukapate dawa, alikupa hayo masharti unayotuletea hapa? Tabia za kiswahili hizo. Kwani huyo mtaalam alikwambia dawa zake ni kwa wale wasio wagumba? Pili, wewe kuwa msemaji wa huyo mganga, ni ridhaa yake? Ama kweli maskini akipata "------" hulia mbwata..
Kitu kimoja uelewe duniani hauishi peke yako na usifikiri kwamba huyo mtaalam uliepelekwa kwake unamfahamu wewe tu na huyo aliekupeleka. Kama ni lawama, hilo hulikwepi kwani hata sasa tumeshaanza kukulaumu. Ni bora uwaelekeze watu upate lawama nusu kuliko kuendelea kupata lawama 100%...
 
Ulichokuwa unataka apate mimba yako au yoyote tu? Usifurahi sana, inaweza kuwa ya jirani hiyo.
 
Back
Top Bottom