Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

boris maganga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
384
Reaction score
382
Vodacom.
Screenshot_2020-02-14-08-15-21.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wezi sana!Hapo hapo kuna kifurushi tsh 500 - MB 80 saa 24,ukienda menu nyingine unakuta tsh 500-MB 250 saa24!
Tsh 1000-Mb 300 na hapo hapo kuna tsh 1000 -Mb 600 vyote kwa saa 24!
Hapo wana maana gani kama sio kuwaibia watu?
 
Kwenye 500 nafuu kidoogo hata hivyo wafike angalaaau 300mb
 
Yaani bando zao zinaisha haraka sana hata ukijiunga ni sana na bure tuu
bado hamna kitu hapo, hiyo 20GB ingekua bando ya mwezi ningerudi voda. BTW vifurushi vya voda hua vinaisha kwa kasi ya 5G usidanganyike.
 
Back
Top Bottom