Asante sana Dr. JP. Magufuli

Bukama Batoko

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
820
137
Baba Magufuli, umeitendea haki Ilani ya chama chako kwa kuitangaza vema na kuzunguka nchi nzima kwa ushujaa na ukakamavu wote na kuonesha namna unavyoipenda nchi yako.

Nina imani kazi uliyoianza kwa nguvu zako zote, akili yako yote, moyo wako wote na roho yako yote na kwa uadilifu mkubwa. Mchapa kazi ni lazima apewe kazi ili akamilishe usemi wake ?HAPA KAZI TU!

Watanzania kesho asubuhi na mapema jitokezeni mkakamilishe kazi ya kumpigia kura na kumchagua Rais wa Awmu ya Tano Dr. JP.

Magufuli. Baba, watanzania wote tupo pamoja na wewe. Ushindi wako utakuwa wa kihistoria.

Viva Dr. JP. Magufuli.
 
Na huyu ndiye rais waawamu ya tano na mbadala wake hapanahapa nchi kwa miaka mitano hii
 
Tunamuamini na tutamchagua kwa kwa sababu ya uadilifu na kfanyizia watu wa taifa lake maendeleo
 
12109073_149715282048967_2342611465021131907_n.jpg
 
Magufuli anauwezo mzuri kuliko lowasa lowasa anapote kumbukumbu uwezo wa kujenga hoja hana ilani hawana hawafai hapa MAGUFULI TU
 
kampeni imejaa MALALAMIKO.

TAnzania inaenda kuwa nchi yenye huzuni kuliko zote duniani.

Watahuzunikia fursa walioikosa mwaka huu ikitokea wakamuacha mamvi
 
Magufuli rais awamu ya tano kazi kwenu wavivu

Wenye wivu wajinyonge. Kura kwa Magufuli. MSIKILIZE HUYU HAPA ANAYEJIITA MZEE WA MABADILIKO AMBAPO AMEKUWA KWELI MWANA MABADILIKO AMEWABADILIKIA CDM NA KUUNGA MKONO CHAMA KILICHOMLEA.

[video]https://www.facebook.com/evarist.chahali.1/videos/10153698053991810/[/video]
 
Back
Top Bottom