Asante sana Dr. JP. Magufuli

Asante sana Dr. JP. Magufuli

Angeanza kwa kujipeleka mahakamani kwa kugawa nyumba za serikali kwa marafiki na nduguze.
 
12032970_783325481789764_1745365935284326944_n.jpg
 
Baba Magufuli, umeitendea haki Ilani ya chama chako kwa kuitangaza vema na kuzunguka nchi nzima kwa ushujaa na ukakamavu wote na kuonesha namna unavyoipenda nchi yako.

Nina imani kazi uliyoianza kwa nguvu zako zote, akili yako yote, moyo wako wote na roho yako yote na kwa uadilifu mkubwa. Mchapa kazi ni lazima apewe kazi ili akamilishe usemi wake ?HAPA KAZI TU!

Watanzania kesho asubuhi na mapema jitokezeni mkakamilishe kazi ya kumpigia kura na kumchagua Rais wa Awmu ya Tano Dr. JP.

Magufuli. Baba, watanzania wote tupo pamoja na wewe. Ushindi wako utakuwa wa kihistoria.

Viva Dr. JP. Magufuli.
attachment.php
 
Back
Top Bottom