Labda kama wewe ni mgeni hapa,ila kama ni mwenyeji utakua ushasoma uzi uliletwa hapa mara tu azam walipotangaza kuonesha mechi 104,kuwa ni waongo na hawana huo uwezo