Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo watundu. Rwanda endelea kukomboa maeneo zaidi ya Msumbuji. Waoga mnona jinsi Rwanda wanavyofanya kazi? Mjifunze kutoka kwao