kyene kyaka
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 318
- 318
Wana Jf
Leo mida ya saa 18:54, , nilikuwa namsikiliza mkuu wa mkoa kuhusu suala la machinga barabaran kupitia channel 10 lakin kupitia hilo agizo lake kuna kitu nimegundua kuwa tunadanganywa...
MAKONDA: Kutokana na machinga kutumika na wafanyabiashara wanaotunza mzigo katika stoo na kuwatuma machinga watandike mzigo chini na wauze huko kunaikosesha serikali mapato kwa mwaka huu jiji la dar es salaam mapato yamepungua na kupoteza kama billion 100 huku wilaya ya ilala peke yake imepoteza billion 50"
Kuhusu suala la mapato ambalo TRA wanatutangazia kila mwezi mapato yanaongezeka lakin kumbe wanajitekenya na kucheka wenyewe huku ukweli wanaujua wenyewe na hali wanaiona pia ila inabidi wafuate maagizo kutoka karibu na mahakama ya samaki pale ferry...
Kwa hili Asante makonda tunaujua ukweli sasa
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une