figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Heshima kwenu wakuu,
Natumia nafasi hii kuipongeza Serikali ya Magufuli kwa kuwakanya na kuwaonya Wakuu wa Wilaya na Mikoa kuhusu Vitendo vyao. Walikumbushwa Kazi zao na Mipaka yao na kambiwa waziwazi bila kupepesa macho kwamba hamjateuliwa kupambana na upinzani.
Walikumbushwa pia Matumizi ya madaraka yao wakikumbushwa kwamba cheo ni dhamana. "Wapo Wakuu wa Mikoa, Wilaya watumiao madaraka vibaya. Tumetoa mafunzo, maelekezo kwao waifahamu mipaka, kutekeleza majukumu yao" amesema NAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo.
Nawapongeza kwa hilo. Sasa hivi wametulia hawa wakuu. Walikuwa wanashindana kunyanyasa Upinzani na kujenga chuki kati ya Vyama vya upinzani na Serikali. Kiasi Wapinzani walikuwa wnajiona sio Watanzania
Hii hali imedhibitiwa mapema, ingeleta maafa.