Pongezi kubwa kwa serikali juu ya tetesi za ununuzi wa ndege. Ni kweli tuna uhitaji mkubwa sana wa ndege kuliko ajira katika taifa hili hongereni sana.
Kipaumbele kwa sasa ni ndege siyo viwanda tena.
Watanzania wote wataendesha kuajiriwa kwenye shirika la ndege uwe unajiongezaSasa kwani Shirika la ndege halizalishi ajira?
Watanzania wote wataendesha kuajiriwa kwenye shirika la ndege uwe unajiongeza
Jengeni viwanda zile pesa za rambi rambi za wajane kule Kagera bado zipo?Ni kitu gani ambacho badala yake kingefanyika ili kuajili Watanzania wote?
Jengeni viwanda zile pesa za rambi rambi za wajane kule Kagera bado zipo?
Wewe kweli Juha , viwanja hakuna una uhakika??? Kila mkoa Tanzania unaviwanja vya ndegw ukitoa mikoa mipya tu sasa unasemaje viwanja hakuma?? Sema sivifahamu viwanja vya ndege na kwa kukusaidia na ndo maana zilinunuliwa Bombardier Q400 ili ziwezw kutua katika viwanja vyetu usipige kelele mitandaoni sababu ya bandoSasa zinanunuliwa za nini kama viwanja vyenyewe hakuna?
Nipande ndege kwenda wapi! Kukata kuni?
Au kuchimba viazi vya mabolwa?
Mimi sio ombaomba hata nisaidiwe, haiyumkini fikra zako zimegota, zimefika ukomo, kwa maana ni mpumbavu pekee hutumia akiba yake ya fedha kununulia Punda na mwanae akashindwa kumpeleka shule kwa kukosa ada.Wewe kweli **** , viwanja hakuna una uhakika??? Kila mkoa Tanzania unaviwanja vya ndegw ukitoa mikoa mipya tu sasa unasemaje viwanja hakuma?? Sema sivifahamu viwanja vya ndege na kwa kukusaidia na ndo maana zilinunuliwa Bombardier Q400 ili ziwezw kutua katika viwanja vyetu usipige kelele mitandaoni sababu ya bando
Ha ha ha upo makini!Sidhani kama kuna ukweli hapo milioni sita dar to bukoba!!!