Asante Rais Magufuli kwa kutuletea Ndege

Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Bomb die imekuja BK lini mkuu maana hapa hatujapokea abiria wa Bomb die
 
Wewe fanya tu, unamlalamikia nani sasa. Kwani kuna mtu amekukataza kufanya utalii wa ndani kwa bus first class?
Na wewe tutolee vipropaganda vyako uchwara hapa.

Mnataka kuwafanya watanzania malimbukeni wa tundege!!????

Zilishakuwepo mpaka Boeing hapa hapa tiizii
Hazikufanya lolote!!!

Sembuse hizi mapanga nnshaaaaa!!!
 
Ha ha ha, acha upuuzi wako nenda katalii na bus la first class.
 
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
hujui unenalo hebu pita hiv......mara unafuu mara apunguze what are u real trying to say?usitukane wakunga.......
 
Wenyeji WA mbuga ya Serengeti hawatakaa walione hili
 
Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.

Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
Hawa watu hawa hawana jema, kila kitu kwao ni kibaya, shingo zao ngumu. Fanya kazi yako Mh Rais wengine wanafikiriaje shauri yao!! Fastjet ilivyokuja na bei ya kutupa sidhani kama iliua biashara yoyote si eti eeeeh? Mapanga shaha ikija na bei poa inaua biashara.
 
naul ya bombada n zaid ya mshaara wa watz weng walioajirwa selkar na kwenye taasis bnafs. kwel matabaka hayata isha dunian, hata mbingun kuna matabaka sir GOD mwenyewe, malaika na makerubi
 
naul ya bombada n zaid ya mshaara wa watz weng walioajirwa selkarin hasa wale wa kma cha chin na kwenye taasis bnafs. kwel matabaka hayata isha dunian, hata mbingun kuna matabaka sir GOD mwenyewe, malaika na makerubi
 
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!

eee zile zile tabia za kikwenu unazileta kwenye maslahi mapana ee ?
 
Hizo ndege kwa ndani hazitofautiani saaana na bus za kampuni ya newforce ziendazo kahama to Dar.

Ni bora nifanye utalii wa ndani kwa bus first class.

Hizo bombadier ni hatari zinapotua kutokana na kufungwa matairi ya bajaji.
Inakuuma sema huna jinsi, acha kujizungusha zungusha ka demu kuwa wazi tu kwamba ishu za mshikaji we ni moto na maji ...mwanaume ananyoosha maelezo daima
 
Back
Top Bottom