Asante Rais Magufuli kwa kutuletea Ndege

Asante Rais Magufuli kwa kutuletea Ndege

Inakuuma sema huna jinsi, acha kujizungusha zungusha ka demu kuwa wazi tu kwamba ishu za mshikaji we ni moto na maji ...mwanaume ananyoosha maelezo daima
Usichanganye mambo na matusi ya rejareja, naomba uendeleze heshima kwa wanaokufahamu maana sii afya ya mjadala
 
Elimisha na wengine wa calibre yako wanaopinga kila kitu.
 
Mpuuzi ni yule anayepanda kidege ambacho hata jinsi ya kutua ni shida!!!! Arusha kilitaka kuingia kusalimia vicheche porini.

Na wewe unakera na huo utalii wako kwa bus la first class. Ni upuuzi mtupu.
 
Hizo ndege kwa ndani hazitofautiani saaana na bus za kampuni ya newforce ziendazo kahama to Dar.

Ni bora nifanye utalii wa ndani kwa bus first class.

Hizo bombadier ni hatari zinapotua kutokana na kufungwa matairi ya bajaji.
Nchi haiendelei sababu ya watu kama wewe. Kazi yako unasubili tangazo la ukuta na kata funua unaanza kushangilia.
 
Nchi haiendelei sababu ya watu kama wewe. Kazi yako unasubili tangazo la ukuta na kata funua unaanza kushangilia.
Nchi imekuwa safi sana mpaka sherehe za uhuru zimerejeshwa eeeh?
 
Usichanganye mambo na matusi ya rejareja, naomba uendeleze heshima kwa wanaokufahamu maana sii afya ya mjadala
Mwanaume unakuwa straight na si kujiuma uma ..siku nyingine kuwa mwanaume. Ni somo tu usilie lie hapa Jf.
 
Mwanaume unakuwa straight na si kujiuma uma ..siku nyingine kuwa mwanaume. Ni somo tu usilie lie hapa Jf.
Sema su!! Nikubandike tusi la usoni kwa kiungo cha faraghani.
 
Mhaya ni shida sana..

Ww umepanda ndege tu unatangazia umma.. Hivi wahaya mna matatizo sana kupenda sifa za kijinga jinga..

Ushamba unawasumbua sana
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu! Kuna sehemu amesema yeye ni mhaya?! Au ukikaa kagera Unakuwa mhaya automatically?!! Mshenzi kabisa wewe,,, ukabila utakuoa
 
Hizo ulizozitaja zinaizidi bombadier, hata newforce ambazo zipo chini kiubora kuliko hizo marcopolo G7 zinai challenge Bombadier.

Kuhuru tairi za bajaji nisubiri hapo hapo nikuletee kapicha.
Kweli wewe msukuma tena wa kahama ndege umeifahamia wapi ?? Mkoani kwako hakuna uwanja wa ndege lazima uishi kwa kuongea yale unayo yafahamu mpka umri wako sizan kama ushawahi kupanda ndwgw viwanja vya ndegw unavisikia tu kwenye stand na picha
 
Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.

Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.

Watanzania cjui msaidiweje, bei ikiwa ya xhini juu mnalia....haya imeshushwa we unadai serikali inatumia ubabe...na hiyo bei iliyishushwa bdo kuna watu wanataka iwe chini ya hpo, wewe ungepewa uongozi kuiongoza Tanzania ungewaridhishaje wananchi wako? Ungeongeza bei au ungepunguza?
 
Sasa zinanunuliwa za nini kama viwanja vyenyewe hakuna?
Nipande ndege kwenda wapi! Kukata kuni?
Au kuchimba viazi vya mabolwa?
Kweli wewe msukuma tena wa kahama ndege umeifahamia wapi ?? Mkoani kwako hakuna uwanja wa ndege lazima uishi kwa kuongea yale unayo yafahamu mpka umri wako sizan kama ushawahi kupanda ndwgw viwanja vya ndegw unavisikia tu kwenye stand na picha
 
Angalau ni nafuu kuliko shilingi 600000 za Precision Air

Na ninafuu kuliko Auric +Fastjet shilingi 440000.

Ndege hizi nimegundua zitakuwa msaada mkubwa kwa watu, nasikitika hapo mwanzo sikuliona hilo!
Hata mwendo kasi haikupokewa kwa Mikono miwili ilipingwa lakini watu wanafurahia kimya kimya,Basi jifunzeni hata kuiweka kando ccm tupate mawazo mbadala mmekalia uoga kumbe Trump anaweza kuwa Rais,Heshimuni wachache muache uccm
 
Back
Top Bottom