Asante Rais Magufuli kwa kutuletea Ndege

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,038
Reaction score
9,353
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 600,000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
 
Hahahahahaaa majibu ya CCM, huku unafurahi huku unaumia, which is which

Angalau ni nafuu kuliko shilingi 600000 za Precision Air

Na ninafuu kuliko Auric +Fastjet shilingi 440000.

Ndege hizi nimegundua zitakuwa msaada mkubwa kwa watu, nasikitika hapo mwanzo sikuliona hilo!
 
Angalau ni nafuu kuliko shilingi 6000000 za Precision Air

Na ninafuu kuliko Auric +Fastjet shilingi 4400000.

Ndege hizi nimegundua zitakuwa msaada mkubwa kwa watu, nasikitika hapo mwanzo sikuliona hilo!
Afadhali umeliona hilo.
 
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Hongera mkuu kwa kuwa na moyo wa kupongeza wenzio vijana wa ufipa wanatamani wazipige hata na maguruneti ndege hizo na dangote ahame ilimradi tu wasione mafanikio ya serikali hii.
 
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
Sidhani kama kuna ukweli hapo milioni sita dar to bukoba!!!
 
Tuambia speed yake per km na per hour
 
Sawa Mkuu Siku Nadhan Umejifunza Ya Kuwa Siku Nyingine Tunatakiwa Tumuunge Mkono Mkuu Katika Hatua Za Maendeleo Kama Hizi
 
Nilikuwa napinga sana ujio wa ndege, nikatoa hoja kedekede kwamba si kipaumbele.
Lakini baada ya mimi mwenyewe kuonja unafuu wa usafiri huu, nimesema asante mheshimiwa Raisi kwa uamuzi wa kishujaa kutuletea ndege.

Nimesafiri kutoka Bukoba kuja Dar kwa kutumia ndege yetu ya Bombadia kwa shilingi 325000, Japo bado ni nyingi sana lakini ni unafuu kuliko ile kampuni inayoanza na herufi P ambao wao ni zaidi ya shilingi 6000000, lakini pia ni nafuu kuliko kuunganisha ndege ya Auric +Fastjet.

Mheshimiwa Raisi, japo kuna unafuu ninakuomba juhudi ziendelee ili bei iweze kushuka zaidi na Watanzania wengi wanufaike na usafiri huu.

Pia nimegundua kuwa kwa sisi kuwa na shirika letu bora la ndege na la kisasa itarahisisha movement ya Watalii ndani ya nchi, Ifahamike kuwa Utalii ni sekta inayoongoza kutupatia fedha za kigeni, kwa hiyo ni muhimu sana kuwa na shirika la ndege imara ili kuhudumia sekta hii.

Zidumu Bombadia, na Zidumu juhudi sahihi za mheshimiwa Raisi wetu!
leo umepata akili kidogo, kwenye nia njema sio mbaya kusifia. Ukiona wapiga kelele sasa hivi wapo kimya hawazipondei mapanga shaa ujue zinafanya vizuri.
 
Naona soko la ndege likifa kabisa hapa TZ.
Serikali inatumia ubabe wake kushusha bei za ndege na kuziua kampuni nyingine. This not fair.

Mbaya zaidi matangazo ya ATCL ndio yanaibua hisia mbaya kwenye biashara hii. Tangazo linasema watanzania tuwe wazalendo kwa kupanda ndege zetu, utafikiri hizo ndege zingine hazilipi kodi au hazina manufaa yyte.
 
Unasifia mpaka unadanganya tuambie hiyo nauli ya million 6 nan alishalipa hiyo bei
 
Tarehe 2 zimeanza route ya Mbeya Dar. Jana nimepanda bombadier nilitegemea tungesafiri watu wachache maajabu ndege ilijaa yote. Mwanzoni watu walisema atapanda nani bei kubwa nimeshangaa jana tumesafiri full, hakika ni mkombozi wetu walichokifanya ATCL tofauti na fast jet ni kwamba kwenye bombadier zetu check in ya mzigo chini ya kg 20 free wakati fastjet mzigo unaozidi kg 12 unalipia USD 15. Fast jet refreshment unanunua na ni very expensive bombadier ni free, bombadier unaweza ku councel safari at the reasonable price while fast jet are very expensive more than laki 1 na 20. ATCL mkijipanga vizuri mtalishika sana soko la ndani, njia ya Mtwara, kigoma hizo hamna mpinzani kabisa ongezeni route kama Iringa, songea nk. Iringa na Songea Auric wanatuumiza sana yaani songea one way laki 6, Iringa laki 3.5.
 
Hizo ndege zinazokwama njiani yani hata kwa bure sipandi..
 
Back
Top Bottom