KWA POSTMASTER GENERAL, TPC. Tarehe 13/3/2020 nilituma mzigo kwa njia ya posta kutoka Magu, MWANZA kwenda Mbinga, RUVUMA; ambapo nilihudumiwa na REGINA SEDEDE ambaye alinipa Invoice Namba M-7203-03200066751 ya shilingi 11,900/= (Elfu kumi na moja na mia tisa tu) ambazo nililipa taslimu na mzigo...