Salaam!
Najivunia kuwa mwanaume, najivunia kila kitu chema nilichonacho. Lakini mimi ni nani ikiwa kuna mtu mwema aliyekubali kunibeba tumboni mwake mpaka nikawa mtu!
Kwanini basi nisimwambie ASANTE!...Watu hawa wema na wenye huruma na wavumilivu sana wapo walio tubeba kwa hiari, wapo waliotubeba kwa shuruti, wapo waliotubeba kwa visasi, wapo walio tubeba kwa hali tofauti tofauti ikiwemo n jinai.
Leo sina zaidi ya kuwaambia tena thank you for everything that you’ve ever done. It’s way too much to count! May your blessings be countless also!
Sio mlaumiwe tu utadhani hamna thamani!
Angalizo: Hii haiwahusu walotoa Mimba! Kwa kukusudia kuuwa...(kunawalio lazimika kwa kulinda uhai hao sina shida nao)
Kama ulishatoa kwa nia ovu niambie hapa ili nikufanyie maombi ya upatanisho kabla ya umauti kukukuta.
MWANAMKE ASANTE!