Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
ha haha ha ha wa chato........ mwanume kuinamna inama hovyo si vizuri
Jamani Uzi Picha Za Kumbukumbu Miaka Ya BadaeHuyu atakuwa katokea chato bila shaka, anafanana na mtu fulani namjua!
Hongera kamanda kwa hatua uliofikia
Dah...Ulipiga six au ndiyo ile degree ya kuunga unga??
Mbona mbwembwe nyingi njoo huku kitaa tuisome namba vizuri