Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,178
- 143,979
Aisee Mkuu hii CRDB wanajitahidi Sana kila uchao wanaleta Huduma mpya na kuboresha...
Hii internet banking...Sim banking ni mkombozi mkubwa kwetu tulio busy na kazi...
CRDB....EXIM....KCB..BOA bank ni chaguo sahihi
Nazidi kuhamasika kuachana nao kabisa.
Ulipotoa pesa zako NBC walikupa hundi ama pesa taslimu?
Na kufungua akaunti hapo CRDB ilichukua muda gani?
Online banking hapo CRDB inapatikanaje?
Kuna kujaza mifomu au ukishakuwa na akaunti ni kiasi cha kwenda tu kwenye tovuti yao na ku-sign-up kama ilivyo huku kwingine?
Online banking hapo CRDB inapatikanaje?
Kuna kujaza mifomu au ukishakuwa na akaunti ni kiasi cha kwenda tu kwenye tovuti yao na ku-sign-up kama ilivyo huku kwingine?
Unapofungua account mpya hakuna tofauti kama wafanyavyo Marekani online banking, maana information zote utawapa, email, users name na uta-create password. Hakuna tofauti na wafanyavyo Marekani.
Internet banking mi nilienda kwao wakanisaidia Ku subscribe wenyewe coz nilitaka iwe na uwezo wakufanya online transactions....
Hata nikiwa NY now naweza pata access ya acc yangu via internet banking bila tabu....
Huku kwingine unachotakiwa ni kuwa na akaunti tu, basi.
Ku sign up online unafanya mwenyewe na unapata huduma karibu zote...kuanzia ku-order check books, kadi mpya (unaweza kuchagua hadi theme ya kadi kama unataka...mi kadi zangu zina nembo ya timu yangu ya NFL), unaweza uka set travel notice, uka set overdraft protection, unaweza uka report fraud, unaweza ukafungua akaunti mpya, unaweza ukafanya money transfers, na mengineyo mengi tu.
Nina miaka 8 sasa sijakanyaga ndani ya jengo la benki! Hata nikitaka cash naenda tu kwenye drive-up ATM....teh teh teh.....sishuki toka kwenye gari wala nini:usa2:
Don't west time, wahi CRDB achana na hawa NBC too much stress.
Ufunguaji account mpya ni kitambulisho chako kama passport, leseni ya udereva, kitambulisho cha taifa, kama huna basi utatakiwa uwe na barua ya mwenyekiti wa serikali za mitaa. Tofauti huku NBC unahenyeshwa kama si raia na vitambulisho haikubaliki mpaka barua ya mwenyekiti serikali za mitaa na pengine wakudai pia notary mahakamani.
Ku sign up online unafanya mwenyewe na unapata huduma karibu zote...kuanzia ku-order check books, kadi mpya (unaweza kuchagua hadi theme ya kadi kama unataka...mi kadi zangu zina nembo ya timu yangu ya NFL), unaweza uka set travel notice, uka set overdraft protection, unaweza uka report fraud, unaweza ukafungua akaunti mpya, unaweza ukafanya money transfers, na mengineyo mengi tu.
Nina miaka 8 sasa sijakanyaga ndani ya jengo la benki! Hata nikitaka cash naenda tu kwenye drive-up ATM....teh teh teh.....sishuki toka kwenye gari wala nini:usa2:
Ila umatumbini kwetu nuksi sana mkuu...
By then wakati ndio ATM zinaanza kuwa installed, na watu kuanza kuzitumia basi kulizuka ujambazi wa kubomoa vibanda vya ATM....imebidi ziwe zinalindwa sasa.
Halafu pia nashangaa Bongo nzima sijawahi kuona Deposit Friendly ATM's, sijui kama kuna benki ina hii kitu aisee...
Halafu pia nashangaa Bongo nzima sijawahi kuona Deposit Friendly ATM's, sijui kama kuna benki ina hii kitu aisee...
Crdb walikuwa na hiyo deposit kwenye atm nadhani holland branch? Hebu waulizie.
Mtu akisema anatumia nbc huwa nashangaa tu kimoyomoyo. Visa card master card ya crdb unalipia kwenye maduka na mahoteli nchini na nje ya nchi. Na ukitaka kudraw hela nje ya nchi unaenda atm yoyote tu. Nbc hawana hiyo huduma, unaishia kukumbana na exchange rates za ajabu na sijui commision huko.
Maskini NBC yangu! Ndo basi tena nimeikimbia
Halafu pia nashangaa Bongo nzima sijawahi kuona Deposit Friendly ATM's, sijui kama kuna benki ina hii kitu aisee...
Hahaha le mutuz alishawahi kuisuta mitandaoni hadi wakawaita na kukaa nao mezani. Manake naskia wanasumbua balaa
Visa card master card ya crdb unalipia kwenye maduka na mahoteli nchini na nje ya nchi. Na ukitaka kudraw hela nje ya nchi unaenda atm yoyote tu. Nbc hawana hiyo huduma, unaishia kukumbana na exchange rates za ajabu na sijui commision huko.