Asante Mungu leo nimewahama Rasmi NBC

Asante Mungu leo nimewahama Rasmi NBC

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
790
Baada ya kuwavumilia kwa takriban miaka minane na manyanyaso, Huduma mbovu ndani ya benk kadhalika na Atm machine zao, LEO nimeamua kuachana kabisa na benki hii kwa kufanya mambo yafuatayo
1; nimehamisha salio langu lote
2; nimevunja kadi zao zote kuanzia utambulisho mpaka atm kadi zao
3;nimehamisha mshahara kupitia kwao kudadadeki zao
4;nimezinguana na costomer service manager wao
wa tawi moja hapa town
5;nimekuja kuwapa taarifa humu wana jf wenzangu wanaofikiria kujiunga na benk hii wasithubutu itakula kwao.
Benk hawataki kubadirika, kazi kuajiri midioker tu na watu wasiojiweza, mtu dirishani kwa teller anatumia zaidi ya nusu saa bila sababu ya msingi, na siyo dar tu nimeenda matawi yao kibao kama Tabora, morogoro, dar ndo balaa, mtwARA ndo shida kabisa kudadadeki zao, nimejiendea CRDB yan burudani kumbe nilikuwa nachelewa tu siku zote hz, hongereni CRDB hasa holland branch kwa kazi nzuri.
 
Mkuu umechelewa sana. Mimi niliwakimbia last week.
Walianza ku block ATM card yangu kama mwezi na nusu umepita. Eti niwe nachukulia hela ndani hasi nitakapoboresha taarifa zangu. ***** zao hao akaunti niliifungua wakati zoezi la kuboresha akaunti limeanza na niliwapelekea detail zangu zote. Nikaenda Morogoro branch, wakanipa form ya kupeleka kwa mtendaji. Mtendaji akanikamua 3000, nikarudi nayo pale branch, wakaikalia zaidi ya mwezi. Nikawauliza mbona kadi yangu ya ATM hamuifungui ndio kwanza wakanitumia li sms lao la ku block kadi. Wakaniambia baada ya siku tatu itakuwa tayari, nikaenda,nikakuta upuuzi huo huo. Manina, nikakomba vihela vyote na siwarudii tena wapuuzi hao.
Ma ATM yao mabovu. Hata ukienda kwenye,ATM ilipo branch yao ATM hazina hela. ATM zinameza kadi hovyo. Ikitokea ukakosa hela kwenye,ATM ya NBC ukaenda kutolea kwenye ATM ya benki nyingine utakuta wamekata hela kwenye akaunti mzigo hautoki, ukidai wanakusubirisha siku 90 ndo wanarudisha.

Siitaki hata kuisikia NBC
 
MH, mgeni siku ya kwanza............., uvumilivu ndio nguvu ya maisha bila hilo utahama sana, hiyo halland kuna siku utaita honda.
 
mimi nilihama mwezi wa tisa mwaka 2013.hii benki ni ya kitapeli na nilivyosoma jinsi uuzwaji wake ulivyofanyika nikajuta kwa nini nilikua nafanya nao biashara.
 
Baada ya kuwavumilia kwa takriban miaka minane na manyanyaso, Huduma mbovu ndani ya benk kadhalika na Atm machine zao, LEO nimeamua kuachana kabisa na benki hii kwa kufanya mambo yafuatayo
1; nimehamisha salio langu lote
2; nimevunja kadi zao zote kuanzia utambulisho mpaka atm kadi zao
3;nimehamisha mshahara kupitia kwao kudadadeki zao
4;nimezinguana na costomer service manager wao
wa tawi moja hapa town
5;nimekuja kuwapa taarifa humu wana jf wenzangu wanaofikiria kujiunga na benk hii wasithubutu itakula kwao.
Benk hawataki kubadirika, kazi kuajiri midioker tu na watu wasiojiweza, mtu dirishani kwa teller anatumia zaidi ya nusu saa bila sababu ya msingi, na siyo dar tu nimeenda matawi yao kibao kama Tabora, morogoro, dar ndo balaa, mtwARA ndo shida kabisa kudadadeki zao, nimejiendea CRDB yan burudani kumbe nilikuwa nachelewa tu siku zote hz, hongereni CRDB hasa holland branch kwa kazi nzuri.

Nilidhani umehamia WB kumbe umehamisha Ac kwenye kabenki kengine katanzania? Subir utawajua tuu hao crdb wako. Siku utakapopata mshahara tarehe 35 ndipo utakapoitamami nmb nao watakugonga makakato ya kijinga utaitamani dcb mwisho wa siku utajikuta upo women bank. Hizo benk za kibongo zote sawa tuu utaishia kuzunguuka tu
 
Crdb wenyewe wanajisahau sana, foleni za kijinga. Wananichosha sana. Wateja wanakuwa kwa kasi ila hawatanui matawi yao hasa zile sehemu zenye mizunguko mikubwa kama dar. Ukienda mcity kama mtu usiependa foleni utaishia kukasirika tu
 
Baada ya kuwavumilia kwa takriban miaka minane na manyanyaso, Huduma mbovu ndani ya benk kadhalika na Atm machine zao, LEO nimeamua kuachana kabisa na benki hii kwa kufanya mambo yafuatayo
1; nimehamisha salio langu lote
2; nimevunja kadi zao zote kuanzia utambulisho mpaka atm kadi zao
3;nimehamisha mshahara kupitia kwao kudadadeki zao
4;nimezinguana na costomer service manager wao
wa tawi moja hapa town
5;nimekuja kuwapa taarifa humu wana jf wenzangu wanaofikiria kujiunga na benk hii wasithubutu itakula kwao.
Benk hawataki kubadirika, kazi kuajiri midioker tu na watu wasiojiweza, mtu dirishani kwa teller anatumia zaidi ya nusu saa bila sababu ya msingi, na siyo dar tu nimeenda matawi yao kibao kama Tabora, morogoro, dar ndo balaa, mtwARA ndo shida kabisa kudadadeki zao, nimejiendea CRDB yan burudani kumbe nilikuwa nachelewa tu siku zote hz, hongereni CRDB hasa holland branch kwa kazi nzuri.

Aisee hongera ngoja nimwite mteja mwenzio wa hiyo benki Nyani Ngabu maana amewahi kuleta kilio Kama chako.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuwavumilia kwa takriban miaka minane na manyanyaso, Huduma mbovu ndani ya benk kadhalika na Atm machine zao, LEO nimeamua kuachana kabisa na benki hii kwa kufanya mambo yafuatayo
1; nimehamisha salio langu lote
2; nimevunja kadi zao zote kuanzia utambulisho mpaka atm kadi zao
3;nimehamisha mshahara kupitia kwao kudadadeki zao
4;nimezinguana na costomer service manager wao
wa tawi moja hapa town
5;nimekuja kuwapa taarifa humu wana jf wenzangu wanaofikiria kujiunga na benk hii wasithubutu itakula kwao.
Benk hawataki kubadirika, kazi kuajiri midioker tu na watu wasiojiweza, mtu dirishani kwa teller anatumia zaidi ya nusu saa bila sababu ya msingi, na siyo dar tu nimeenda matawi yao kibao kama Tabora, morogoro, dar ndo balaa, mtwARA ndo shida kabisa kudadadeki zao, nimejiendea CRDB yan burudani kumbe nilikuwa nachelewa tu siku zote hz, hongereni CRDB hasa holland branch kwa kazi nzuri.

Nilishawatupia kapuni miaka miwili iliyopita, Nilikaa nje muda zaidi ya miezi sita hivyo account yangu haikuwa active, nikaambiwa nianze process zote kuanza utambulisho wa makazi kwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji, mahakama nk kana kwamba ndo nafungua upya account. Process zilinichukua zaidi ya siku nne bila kuona kinachoendelea, basi rafiki yangu pale kaniambia nenda CRDB uone mambo. Kwa vile nilikwa NBC pale tawi la Twiga makao makuu mkabala na bandari karibu na St Joseph Cathedral, nikachanganya miguu hadi jengo la William Mkapa mkabala na posta mpya, nikapokelewa kama mfalme na kukabidhiwa form ya kufungua account na kwamba taratibu za kufungua account ni kitambulisho tu kilicho halali kiserikali.

Nikageuza na kwenda NBC kuchukula pesa zangu zote bila kuacha salio na kwenda kuzitumbukiza zote CRDB. Hawa wako wazuri, na huduma zao kama bank za ughaibuni vile. Wanaoendelea NBC nawapa pole. CRDB statement naipata kwa email kila mwezi.
 
kwa hiyo CRDB ndio ina uhafadhali?

Huduma zao za kiwango cha kimataifa, wako wazi, hakuna kuzungushana na haraka. Ugunguaji account mpya ni kitambulisho chako kama passport, leseni ya udereva, kitambulisho cha taifa, kama huna basi utatakiwa uwe na barua ya mwenyekiti wa serikali za mitaa. Tofauti huku NBC unahenyeshwa kama si raia na vitambulisho haikubaliki mpaka barua ya mwenyekiti serikali za mitaa na pengine wakudai pia notary mahakamani.
 
Ulipotoa pesa zako NBC walikupa hundi ama pesa taslimu?

Na kufungua akaunti hapo CRDB ilichukua muda gani?
 
Huduma zao za kiwango cha kimataifa, wako wazi, hakuna kuzungushana na haraka. Ugunguaji account mpya ni kitambulisho chako kama passport, leseni ya udereva, kitambulisho cha taifa, kama huna basi utatakiwa uwe na barua ya mwenyekiti wa serikali za mitaa. Tofauti huku NBC unahenyeshwa kama si raia na vitambulisho haikubaliki mpaka barua ya mwenyekiti serikali za mitaa na pengine wakudai pia notary mahakamani.

Khaaa! Yaani na mambo ya notary kisa kufungua akaunti tu?
 
Nilishawatupia kapuni miaka miwili iliyopita, Nilikaa nje muda zaidi ya miezi sita hivyo account yangu haikuwa active, nikaambiwa nianze process zote kuanza utambulisho wa makazi kwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji, mahakama nk kana kwamba ndo nafungua upya account. Process zilinichukua zaidi ya siku nne bila kuona kinachoendelea, basi rafiki yangu pale kaniambia nenda CRDB uone mambo. Kwa vile nilikwa NBC pale tawi la Twiga makao makuu mkabala na bandari karibu na St Joseph Cathedral, nikachanganya miguu hadi jengo la William Mkapa mkabala na posta mpya, nikapokelewa kama mfalme na kukabidhiwa form ya kufungua account na kwamba taratibu za kufungua account ni kitambulisho tu kilicho halali kiserikali.

Nikageuza na kwenda NBC kuchukula pesa zangu zote bila kuacha salio na kwenda kuzitumbukiza zote CRDB. Hawa wako wazuri, na huduma zao kama bank za ughaibuni vile. Wanaoendelea NBC nawapa pole. CRDB statement naipata kwa email kila mwezi.

Aisee Mkuu hii CRDB wanajitahidi Sana kila uchao wanaleta Huduma mpya na kuboresha...

Hii internet banking...Sim banking ni mkombozi mkubwa kwetu tulio busy na kazi...

CRDB....EXIM....KCB..BOA bank ni chaguo sahihi
 
Back
Top Bottom