Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
Mungu akubariki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja akujibuNjaa nadhani ndo chanzo Cha Matatizo mtoa Mada kwake chakula sio tatizo uhakika wa kula na Kunywa upo
Wanawake Hasira zao zinaletwa Sana na Njaa
Mume wangu hawezi kurudi nyumbani na mtoto from nowhere anakupa stori eti mtu kaniachia tu mtoto,na Mimi mwanamke kwa vile numeshiba ubwabwa na maharage nampokea tu mpenzi na kuanza kumvalisha Dogo diapers Hapana! hapo Ni Bora tu unione Nina njaa inayosababisha hasira kaliNjaa nadhani ndo chanzo Cha Matatizo mtoa Mada kwake chakula sio tatizo uhakika wa kula na Kunywa upo
Wanawake Hasira zao zinaletwa Sana na Njaa
Hongera mkuuMambo vipi,
Nisienda mbali jana nashukuru mungu ilikuwa ni siku ya valentine ambayo ni siku ya kuonyeshana mapenzi lakini huenda upande wangu mungu alinipa furaha nyingine kubwa kushinda hayo tunayoyajua.
Mida kama ya saa tano asubuhi jana tarehe 14/2 nikiwa maeneo ya mbezi beach kwenye kijimgahawa nikinywa zangu chai,huku nikisubiria biashara yangu ambayo nilikuwa nataka kuifanya maeneo hayo na mteja wangu.
Akatokea mdada mmoja mzuri tu akiwa amembeba mtoto wa kama miezi 8 na kukaa jirani yangu huku na yeye akiagiza chai na maandazi mawili, baada ya salamu alikuwa anaongea sana na simu mwishoni akaniomba nimshkie mtoto wake ili aende kutoa hela.
Basi mie nikamshka mtoto huku nikishushia zangu maji yangu taratiibu huku nikimsubiria mhusika arudi amchukue mtoto wake lakini nusu saa ilikatika, likaenda lisaa mpaka masaa 3 yakakatika bila mtu kuonekana wala dalili.
To be honest ndo akili ikanifunguka kuwa hapa tayari nimeshatelekezewa mtoto, lakini jambo la ajabu mtoto muda wote alikuwa anatabasamu na kuongea tu huku akicheka cheka muda wote hali iliyokuwa inanifanya nijihisi na amani japokuwa akili nyingine ilikuwa inanambia kuwa hapa mama mtu harudi tena.
Basi nilijikuta nimekaa mgahawani mpaka mida ya saa 10 pasipo mama mtu kujitokeza mie nilichokifanya ni kuongea na wife na kumuelezea situation nzima ya tukio, then nikamchukua mtoto na kuondoka nae mpaka polisi nikiwa na mwenye mgahawa.
Tulivyofika polisi nikakamilisha taratibu zote na yule mmiliki wa ule mgahawa akaondoka zake mie nilikubali kukaa na yule mtoto kwa kumlea kama mwanangu na baada ya kuandikisha maelezo yote polisi, wife akaja kituoni na hati za ndoa kuthibitisha kuwa kweli ninaishi na mke na kuondoka na askari mmoja wa kike mpaka kwangu
Askari baada ya kufika kwangu akajiridhisha na kuondoka na kutakiwa leo niripoti tena polisi kwa ajili ya taratibu nyingine za kuishi na mtoto huyo kama wangu na mengineyo.
Leo asubuhi nimeamkia polisi nikiwa na Mwanasheria na kukutana na mkuu wa kituo na yeye akanibariki juu ya hilo na nikatoka nae mpaka ustawi wa jamii ambako nilikamilisha taratibu zote za kuishi na mtoto huyo kisheria na kuondoka zangu mpaka Kariakoo ambako hela niliyoipata jana yote nmenunua mahitaji ya mtoto kama maziwa, nguo, n.k then nikarudi zangu home.
Home furaha imezidi maana nna mtoto wa kike plus huyu wa kiume familia imeongezeka na nyumba nzima wamemkubali na kumpenda mno hope next week tukijaliwa uhai nitaanza taratibu za kufatilia vyeti vya kuzaliwa na kwa jina nimempa jina la Prince na soon nahamia kwangu hope kataenjoi mazingira tulivu.
Asante Mungu kwa hii zawadi ya valentine uliyonipatia mie na familia yangu [emoji120][emoji120]
mke alishirikishwa first time tukio kutokeaHongera kwako na kwa mke wako kuwa muelewa coz cyo rahisi mwanamke kumpokea mtoto wa mwanamke mwingine
mh sidhani kama kuna watu wenye moyo huo hasa kwa wale ambao walishapataga mtoto kablaIngekuwa ni mimi nimeachiwa huyo mtoto, na mimi ningemtelekeza huyo mtoto hapo hapo, majukumu yasiyonihusu ya nini..starehe ale yeye na mumewe, kulea nilee mimi.
Uzidi kubarikiwa mpaka ushangae ankoli ....Hicho n kitu kikubwa na baraka zake hazichelewi mzee wangu [emoji817]Mambo vipi,
Nisienda mbali jana nashukuru mungu ilikuwa ni siku ya valentine ambayo ni siku ya kuonyeshana mapenzi lakini huenda upande wangu mungu alinipa furaha nyingine kubwa kushinda hayo tunayoyajua.
Mida kama ya saa tano asubuhi jana tarehe 14/2 nikiwa maeneo ya mbezi beach kwenye kijimgahawa nikinywa zangu chai,huku nikisubiria biashara yangu ambayo nilikuwa nataka kuifanya maeneo hayo na mteja wangu.
Akatokea mdada mmoja mzuri tu akiwa amembeba mtoto wa kama miezi 8 na kukaa jirani yangu huku na yeye akiagiza chai na maandazi mawili, baada ya salamu alikuwa anaongea sana na simu mwishoni akaniomba nimshkie mtoto wake ili aende kutoa hela.
Basi mie nikamshka mtoto huku nikishushia zangu maji yangu taratiibu huku nikimsubiria mhusika arudi amchukue mtoto wake lakini nusu saa ilikatika, likaenda lisaa mpaka masaa 3 yakakatika bila mtu kuonekana wala dalili.
To be honest ndo akili ikanifunguka kuwa hapa tayari nimeshatelekezewa mtoto, lakini jambo la ajabu mtoto muda wote alikuwa anatabasamu na kuongea tu huku akicheka cheka muda wote hali iliyokuwa inanifanya nijihisi na amani japokuwa akili nyingine ilikuwa inanambia kuwa hapa mama mtu harudi tena.
Basi nilijikuta nimekaa mgahawani mpaka mida ya saa 10 pasipo mama mtu kujitokeza mie nilichokifanya ni kuongea na wife na kumuelezea situation nzima ya tukio, then nikamchukua mtoto na kuondoka nae mpaka polisi nikiwa na mwenye mgahawa.
Tulivyofika polisi nikakamilisha taratibu zote na yule mmiliki wa ule mgahawa akaondoka zake mie nilikubali kukaa na yule mtoto kwa kumlea kama mwanangu na baada ya kuandikisha maelezo yote polisi, wife akaja kituoni na hati za ndoa kuthibitisha kuwa kweli ninaishi na mke na kuondoka na askari mmoja wa kike mpaka kwangu
Askari baada ya kufika kwangu akajiridhisha na kuondoka na kutakiwa leo niripoti tena polisi kwa ajili ya taratibu nyingine za kuishi na mtoto huyo kama wangu na mengineyo.
Leo asubuhi nimeamkia polisi nikiwa na Mwanasheria na kukutana na mkuu wa kituo na yeye akanibariki juu ya hilo na nikatoka nae mpaka ustawi wa jamii ambako nilikamilisha taratibu zote za kuishi na mtoto huyo kisheria na kuondoka zangu mpaka Kariakoo ambako hela niliyoipata jana yote nmenunua mahitaji ya mtoto kama maziwa, nguo, n.k then nikarudi zangu home.
Home furaha imezidi maana nna mtoto wa kike plus huyu wa kiume familia imeongezeka na nyumba nzima wamemkubali na kumpenda mno hope next week tukijaliwa uhai nitaanza taratibu za kufatilia vyeti vya kuzaliwa na kwa jina nimempa jina la Prince na soon nahamia kwangu hope kataenjoi mazingira tulivu.
Asante Mungu kwa hii zawadi ya valentine uliyonipatia mie na familia yangu [emoji120][emoji120]
Anatoa mapongezi kama yoteeHalafu baba yake ana comment naye hapa
Una mke muelewa sana,MZINGATIE SANA!
Mimi hii case angeamua mkemia wa serikali baada ya vipimo vya DNA.
Mbarikiwe Sana Kama familia.
Ametupa unga kwenye sufuria.Alizani amekukomoa utakuta huko alipo ameshammis mtoto wake ila hajui pakumpata.