Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Hongera chapa kazi sasawadau mambo vp? Niko hapa kuwa encourage kutokata tamaa katika kusaka ajira sababu after long struggle nimefanikiwa kupata job serikalini. Nashukuru jf kwan nililipata tangazo lile hapa hapa and lord hear my felt need. Muhimu omba mungu sana na saka fursa sana. Nawatakia kila laheri katika harakati za kusaka ajira, no pain no gain
Fungu la kumi atoe kabla hajapata mshahara au akishapata?Hongera sana
Kutoe fungu la kumi kanisani.
Fungu la kumi usimpe mchungaji wako, katoe mitaani kwa watu wenye shida ya kweli, sio kwa ma Rwakatale au Mzee wa upako ambao hawalali njaa.
Fungu la kumi atoe kabla hajapata mshahara au akishapata?