Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
wadau mambo vp? Niko hapa kuwa encourage kutokata tamaa katika kusaka ajira sababu after long struggle nimefanikiwa kupata job serikalini. Nashukuru jf kwan nililipata tangazo lile hapa hapa and lord hear my felt need. Muhimu omba mungu sana na saka fursa sana. Nawatakia kila laheri katika harakati za kusaka ajira, no pain no gain
)