mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
kwingineko afrika.
unabandika kucha baada ya kazi.Hawa ndio wazungu wanawaita "wife material"
Unataka kusema huyo ni mmoja?unabandika kucha baada ya kazi.
ndio mkuu, hapo alikuwa ameweka tangazo kwa anayehitaji kuweka pvcUnataka kusema huyo ni mmoja?
Naomba mawasiliano yake nakaribia kuweka pvc...ndio mkuu, hapo alikuwa ameweka tangazo kwa anayehitaji kuweka pvc
hahaha, huku wapo ila akiisha kuwa fundi au konda ndio anakuwa mchafumchafu hata kama sio muda wa kazi urembo byebyee. hiki ndio kimemfanya dada huyu kuwa maarufu. anatwanga kotekoteDuh nilijua tu...huyu angekuwa hapa kwetu asingefanya kazi....angeshinda instagram tu
Uko sahihi kabisa....hahaha, huku wapo ila akiisha kuwa fundi au konda ndio anakuwa mchafumchafu hata kama sio muda wa kazi urembo byebyee. hiki ndio kimemfanya dada huyu kuwa maarufu. anatwanga kotekote
Welldone![]()
![]()
![]()
![]()
kwingineko afrika.
hiyo kazi anayofanya hapo mbona sio kama kupasua magogo mufindi mkuu.Mbona mikono yake kama sio ya mshika nyundo huyo, isijekuwa picha tu