Asante mpenzi wangu wa zamani

Naona kakonfesi kuwa si yeye. Haya la pole maisha lazima yaende mbele no matter or what
 
Mmh!Baadhi ya wanaume ni vichomi hunitaki si uniache tu. Unatengeneza strori tena ya ya kunitengenezea uhasama na mtu mwingine ambae nishamsahau ili iweje? Kuna kisa kiliwahi kunitokea cha staili hii japo tofauti kidogo.
Ukimchoka mtu na huna sababu ya msingi mwambie tu kuliko kupika hadithi za kupika Rica.
 

mpenzi mioyo ya wanadamu ni migumu sana kuielewa
 
kwanini mapenz yamekua tatizo kwa watu kiasi hiki mbona kwa wazazi wetu zamani haikua hivi tumekosea wapi?kwanini leo tunaona ufahar kusalitiana kiasi hichi?ee mungu tunusuru

masai dada pole sana cha msing amini kua mumeo bado hajafika na kila binadam kashapangiwa wakuish nae na kama hajafika fanya ufanyalo lazima haya yatokee muhim kuyasahau na kuanza maisha mapia kama vile hukuwah kua naye hapo mwanzo japo nayajua maumivu yake hususan hiz siku za kwanza ni magumu ila pia hupita piga got muimbe mungu akuonyeshe wako sasa
 

nashukuru sana ndugu
nimekwisha samehe
 
Huyo mpenzi mpya angekuwa anakupenda kweli asingesikiliza maneno ya huyo ex wako.Na bora wote mmeachana nao maana wote wambea kwa kuanza kukaa na kukujadili wewe bora mmeachana

hapo umenena ni ujinga et aliyekua mume mwenza anakueleza mapungufu ya dem wako na ambayo hujawah kuyaona tangu uwe naye na wewe unakaa chini unamsikiliza na kuyatia akilini kwanza huo muda wa kukuelezea hayo hata yangekua ya kweli unampa wa nini?na amekuonaje mpaka aweze kukueleza hayo na pia hata hujiulizi ana lengo gani na penz lenu.huyo jaa hamnazo
 
!
!
duh.......team we dont chace we replace, we riddin solo and life goes. One night stendaz, ma@aaanina. Ukizingua nakuzingua mara mbili yake. Hauna cha kuooteza, hata huyo aliyekuacha sio oksijeni wala nini. After all he is not, he was not and he will never be the only fish in sea. Move on!
 
Siku mpenzio akisikiliza...na kuamini...maneno ya your/his ex bila kukuuliza usahihi wake akayachukua kama yalivyo....time to re evaluate!
Adios.
 
unaongea na simu au

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…