binamu, mimi nina historia mbaya sana na haya mafujo, nimeshawahi kuongoza haya mambo kipindi tandale mtogole ndio mtogole....ngoja niishie hapoHahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa binamu wewe uliogopa ukasepa kimtindo wakati wanaingia mtaa wenu si niilikuona kwa mbali nikawa najichekea kumbe nanyi ni waoga Lol!
mimi pia....Owh!!!! Nakupenda sana
Sijapata mwenza chukua fursa basi
Hii fursa yako vipi? Mbona wanakugomea Rich Pol?
Basi nionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio.
Huruma tena?
Tatizo hata ukipata unakubali kunyang'anywa.Ndiyo maana wenzako wote wananigomea.
Tatizo hata ukipata unakubali kunyang'anywa.
Duuuh kupendwa rahaaa...😛😛😛
mambo vipi?
yaani wanatia haya kabisa....kaka nasikia wanaume wa dar wanaogopa panya road vibaya mno..