Asante mke wangu kwa unayonifanyia


Yes unaweza kuishi hata mwezi hujagambona na mtu nini 24 hours very possible nipo kwenye ndoa 15 years naona kama nimeolewa jana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mkuu, hakuna kesi, mwenyewe atachuja
Ni wivu tu sio umesema ukweli...
Wewe kama umekutana na mtu wa hovyo usifikiri ni watu wote acheni kukariri maisha pambana na gume gume lako
Nje huku kuna wanaume bora na wanawake bora pia


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ujue ndoa za wengi zinapumulia mashine basi ongelea mambo mazuri mazuri ya ndoa uone comments[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mtoa mada nikusifu wewe kwa kuwa KICHWA cha familia, hawa mikia achana nao maana waliingia ndoa na akili hawana wamebaki kulia lia tu. Endelea kuwa kichwa cha familia.
 

Kabisa aachane na hawa vijana wa humu wasojielewa wanafikiri ndoa zao zinazopumulia mashine na za wenzao ni hivyo hivyo...
Mwisho wa siku Maisha ni kuchagua ukitaka ndoa ya Amani Mbona mnaijenga wenyewe tu mke na mume..
Ndoa nyingi vurugu sbb ya u selfish wa nyinyi wawili tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dishi limeyumba kidogo

Fanya fanya likae vizuri
 

Hongera kamanda...Mungu awafanyie wepesi muendelee kupenda na kudumu katika ndoa yenu.

kweli ukipata mke bora umepata yote......

Ovaaaa
 
Umeongea kweli kabisa mkuu

Hongerah Sana mkuu,

MUNGU awape maisha marefu na upendo zaidi na furaha iongezeke mara nyingi zaidi,

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Sema tu umekubali kuwa bwege kwa mkeo kwa lengo la kuifanya ndoa yako iende, unabeba watoto mgongoni, unapika, unafua, unadeki.. sasa kama unafanya yote hayo ubovu wa mkeo utauona wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Baadhi ya Wanaume hawapendi kusikia habari kama hizi.
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Baadhi ya Wanaume hawapendi kusikia habari kama hizi.



Wana wivu, stress, chuki na ufinyu wa akili. Sasa kinachosababisha wamponde mwenzao ni nini? Ina maana kwao ndoa ni chuki?

Yani wanachotaka kusikia ni mwanamke anasemwa vibaya baasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…